Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf sio sehemu ya kupiga soga, link za kuhusu hyo mikopo ziko wapi..au unafikiria hku ni pale kw mama nitilie unaazisha mada ilmradi na wewe uonekane unajua
Karibu kahawa[emoji23][emoji23]Hata ukiumia huo ndio ukweli nchi yenu mnapoelekea mtauzwa wote..hapo bado hatujaweka la mchina wa SGR
Haina haja ya kunung'unika moyoni maana sio kosa lako kwasababu hata kura ujaenda kumpigia huyo mleviJf sio sehemu ya kupiga soga, link za kuhusu hyo mikopo ziko wapi..au unafikiria hku ni pale kw mama nitilie unaazisha mada ilmradi na wewe uonekane unajua
Poole myKaribu kahawa[emoji23][emoji23]
Kakojoe ulale, itabidi umeshindanishwa na mtoto wa grade 3 hku ndio angalau mtaendana sawa kimawazo.
Manake yeye itakua anatema vitu ovyo km wewe tu tena huenda akakuzidi katika nynja za kutoa facts
Karibu kahawa[emoji23][emoji23]
Kakojoe ulale, itabidi umeshindanishwa na mtoto wa grade 3 hku ndio angalau mtaendana sawa kimawazo..
Manake yeye itakua anatema vitu ovyo km wewe tu tena huenda akakuzidi katika nynja za kutoa facts
Tundu lissu anayesema bwala la mtera linatosha kwa umeme, mengine hayana maana[emoji3][emoji3][emoji3].Usisahau kuwa according to Tundu Lissu ndanii ya maka mitano hata sisi tumekoba tillion 40 na million 500 na bado tuanendelea kukopa
Nachagua kipi pumba kipi mchele, siyo kwa tundu lissu tu kwa wote, mimi siyo diehard fan wa siasaTundu lissu anayesema bwala la mtera linatosha kwa umeme, mengine hayana maana[emoji3][emoji3][emoji3].
umechagua kumsikiliza.
Tundu lisilo na kitu : mabwana zake waliempika miaka 2 Kwa propaganda wanasema uchumi unakua yeye anasema nchi inaangamiaTundu lissu anayesema bwala la mtera linatosha kwa umeme, mengine hayana maana[emoji3][emoji3][emoji3].
umechagua kumsikiliza.
Kukopa sio Kosa chief ! Kosa ni kushindwa kulioa ukitazama ilo taifa lina assets za kuidia mkopo .. waache wakope watauza resources watalipa deniNchi ya Kenya imekuwa ikijinadi wako vizuri kiuchumi lakini kwa mtirirko huu wa madeni ndani ya kipindi kifupi, tutegemee anguka kubwa la kiuchumi.View attachment 1533186
Mimi kura yangu ya rais na gavana zilipita[emoji23][emoji23]Haina haja ya kunung'unika moyoni maana sio kosa lako kwasababu hata kura ujaenda kumpigia huyo mlevi