Kwa madeni haya nchi ya Kenya ishauzwa

Kwa madeni haya nchi ya Kenya ishauzwa

adebisi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
100
Reaction score
111
Nchi ya Kenya imekuwa ikijinadi wako vizuri kiuchumi lakini kwa mtirirko huu wa madeni ndani ya kipindi kifupi, tutegemee anguka kubwa la kiuchumi.

IMG-20200810-WA0157.jpeg
 
JF sio sehemu ya kupiga soga, link za kuhusu hyo mikopo ziko wapi..au unafikiria hku ni pale kw mama nitilie unaazisha mada ilmradi na wewe uonekane unajua
 
Hata ukiumia huo ndio ukweli nchi yenu mnapoelekea mtauzwa wote..hapo bado hatujaweka la mchina wa SGR
Jf sio sehemu ya kupiga soga, link za kuhusu hyo mikopo ziko wapi..au unafikiria hku ni pale kw mama nitilie unaazisha mada ilmradi na wewe uonekane unajua
 
Hata ukiumia huo ndio ukweli nchi yenu mnapoelekea mtauzwa wote..hapo bado hatujaweka la mchina wa SGR
Karibu kahawa[emoji23][emoji23]
Kakojoe ulale, itabidi umeshindanishwa na mtoto wa grade 3 hku ndio angalau mtaendana sawa kimawazo..
Manake yeye itakua anatema vitu ovyo km wewe tu tena huenda akakuzidi katika nynja za kutoa facts
 
Nchi haijawahi kuuzwa kama shati. Kodi na mapato mengine ya nchi husika yatalipa mikopo hata kama ni kwa karne mia
 
Sio madeni hayo tatizo TANZANIA elimu yenu ndogo, ukisikia GDP ndio hiyo GDP lazima iwe hivyo
 
Jf sio sehemu ya kupiga soga, link za kuhusu hyo mikopo ziko wapi..au unafikiria hku ni pale kw mama nitilie unaazisha mada ilmradi na wewe uonekane unajua
Haina haja ya kunung'unika moyoni maana sio kosa lako kwasababu hata kura ujaenda kumpigia huyo mlevi
 
Karibu kahawa[emoji23][emoji23]

Kakojoe ulale, itabidi umeshindanishwa na mtoto wa grade 3 hku ndio angalau mtaendana sawa kimawazo.

Manake yeye itakua anatema vitu ovyo km wewe tu tena huenda akakuzidi katika nynja za kutoa facts
Poole my
 
Usisahau kuwa according to Tundu Lissu ndanii ya maka mitano hata sisi tumekoba tillion 40 na million 500 na bado tuanendelea kukopa.
 
Listen u mbururaz, hapo wamejaribu kuhighlight ndani ya miezi mitatu hivyo ndivyo nchi yenu imekopa..uko hapa unajigamba while mnaumia kimoyo moyo..see the attached recently report of ur country and comments fromur fellow kenyans
Karibu kahawa[emoji23][emoji23]
Kakojoe ulale, itabidi umeshindanishwa na mtoto wa grade 3 hku ndio angalau mtaendana sawa kimawazo..
Manake yeye itakua anatema vitu ovyo km wewe tu tena huenda akakuzidi katika nynja za kutoa facts
Screenshot_2020-08-11-00-38-18-616_com.android.browser.jpeg
Screenshot_2020-08-11-00-39-18-579_com.android.browser.jpeg
Screenshot_2020-08-11-00-40-00-780_com.android.browser.jpeg
 
Tundu lissu anayesema bwala la mtera linatosha kwa umeme, mengine hayana maana[emoji3][emoji3][emoji3].

umechagua kumsikiliza.
Nachagua kipi pumba kipi mchele, siyo kwa tundu lissu tu kwa wote, mimi siyo diehard fan wa siasa
 
Nchi ya Kenya imekuwa ikijinadi wako vizuri kiuchumi lakini kwa mtirirko huu wa madeni ndani ya kipindi kifupi, tutegemee anguka kubwa la kiuchumi.View attachment 1533186
Kukopa sio Kosa chief ! Kosa ni kushindwa kulioa ukitazama ilo taifa lina assets za kuidia mkopo .. waache wakope watauza resources watalipa deni
 
Back
Top Bottom