Kwa madereva na watumiaji wa IT (IN transit)

Magazeti yanatoka kiwandani Dar. saa nne(4) usiku, gari inaondoka saa tano(5) usiku inatakiwa iwe Kigoma, Kyela, Tunduma, Karagwe na Namanga saa kumi na mbili(12) asubuhi ili magazeti yaanze kutawanywa! Na gari hiyo irudi Dar es Salaam.
Hapa gari ita paa mazee
 
Sawia!... Kama njia unaifahamu na unapita mara kwa mara, una advantage kuliko wageni linapokuja suala la speed.
Enzi za East African Safari Rally, Tanzania ilikuwa na Dereva aliyeitwa Bert Shakhland, mwamba huyu alikuwa anajizolea point zote kwenye milima ya Usambara ambapo alikuwa anapita wima eneo hilo pamoja na hatari zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji119] ndio maana watu wakianzisha maada hizi huwa na kaa pembeni na chekaa... Maana wengi wao hawajui kinagaubaga nini huwa kipo ndani ya hizi trip.
 
Magazeti yanatoka kiwandani Dar. saa nne(4) usiku, gari inaondoka saa tano(5) usiku inatakiwa iwe Kigoma, Kyela, Tunduma, Karagwe na Namanga saa kumi na mbili(12) asubuhi ili magazeti yaanze kutawanywa! Na gari hiyo irudi Dar es Salaam.
Chai hii, route ndefu magazeti hayaendi na gari. Wewe kwa akili yako unaona kabisa gari yenye engine capacity ya cc 2700-3000 inaweza kutoka dar saa 5 ifike KARAGWE saa 12..?? NAMANGA tu ndo yanaenda na gari pekee from Dar. Kagera na Kigoma yanaenda na ndege, from Dar to MZA then gari to hio mikoa.
 
Nimezipanda zaidi ya mara 15, zote sijawahi pata ajali, ila saa 11 asb niko Uyole
 
Hii nakubalina na wewe [emoji817] me naendesha sana magari tena route dume. Ukipiga hesabu route ya Dar Karagwe mzee mbona gari ita waka moto [emoji23][emoji91] au Dar kigoma kwa masaa hayo kweli wajemeni hii kamba hii [emoji28][emoji119]
 
Jisomee mwenyewe magazeti hayo.
 
hicho ndiyo kirefu cha IT?
 
Hii nakubalina na wewe [emoji817] me naendesha sana magari tena route dume. Ukipiga hesabu route ya Dar Karagwe mzee mbona gari ita waka moto [emoji23][emoji91] au Dar kigoma kwa masaa hayo kweli wajemeni hii kamba hii [emoji28][emoji119]
Hata ikiwaka moto haifiki bado 😂
 
Nilijua hao madereva huwa wa kampuni na tenda zinapitia kwa kampuni.

Sijawahi kukutana na trekta la IT nafikiri hata hizo gari ndogo ni heri kubeba kwenye malori tu.

Kuna vikundi vyao vina mobilize kazi na kupeana ramani meli ikija pia kuna baadhi ya madereva wako alone alone ila wana reputation na waagizaji so wanawapa gari zikija wapeleke!

Upande mwingine ni madreva wa kampuni mfano wale wanaopeleka ya beforward Tz.
 
Naongezea ni kidogo vituo via viakupakilia abiria mbezi kwa msuguli Msamvu moro Dodoma jamatini usalama barabalani wanatambua sana habari hii tatizo hela hela hela
 
Utakuwa mchawi, kwa usafiri gani wa uhakika uliopo bongo

Ajali popote mkuu.
Ujui unacho kisema ndugu gali inakimbia kama karatasi kutoka kulasini saa nane mchana kufika saa kumi na mbili asubuhi gali hilo liko rusumo unafahamu kuna kilomita ngapi?
 
Naongezea ni kidogo vituo via viakupakilia abiria mbezi kwa msuguli Msamvu moro Dodoma jamatini usalama barabalani wanatambua sana habari hii tatizo hela hela hela
Siku hizi pale kibo kabla haujafika kituo cha kona hakuna kituo cha IT? Kuna jamaa zangu pale kina difa, na abdala fungameza walinipa sana company kipindi flani route za kwenda mbeya na makambako
 
Nitaleta Uzi wa Hili ,upo sahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…