Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu

Mla nchi, ni mwananchi. Nikiwa darasa la saba kwenye mtihani wa kujipima pale shule ya msingi Mwere, Morogoro, niliikosa hii methali kwenye mtihani. Mwalimu alinilaumu sana!
Si kwa ulaji huu umepitiliza mkuu.
 
Miaka mi5 ya jamaa hela ndefu sana imepigwa. Ngoja tusubirie report ya hela zilizotoka hazina from january to march
Hehehe... hiyo ndo ya kusubiria kwa hamu maana mama nadhani anataka kuzinguana na watu
 
Kuna wizi,mkubwa sana sana sana
 
Ukisikia hii taarifa ya CAG unaweza kupiga ukunga hlf ukalinganisha na hali ya maisha ya Watz.
Ila Tatizo Lipo
Hawa Walikuwa Kimya Wakibomoa Mema Ya Nchi Wenyewe. Leo Wanaumbuka Sasa
Wakati Wa Nyani Kumkana Mwanaye Umefika Sasa
πŸ’£πŸ’€πŸ‘£πŸ‘£πŸ•ΆπŸ•Ά
 
Ukisikia,anachosema CAG kama wewe ni mzalendo unataka hii keki tugawane wote kwa hasira unaweza kuhama nchi
 
Jiwe alikuwa mtaalamu wa propaganda sana na aliwafanya watanzania kama watoto wadogo wasio na uwezo wowote wa kufikiri.

Yeye na vibaraka wake walivyokuwaga wakisema SGR na stigler gauge zinajengwa kwa fedha za ndani 100% bila aibu nilikuwa nashangaa sana, cha kushangaza hakuna hata media moja ilihoji kwanini wanadanganya wakati ushahidi upo walikopa.
 
Magu alikuwa corrupt kuliko rais yeyote alie wahi kuongoza hili Taifa.
 
Hela ilikuwa inaibiwa na wachache , na wanaiba kweli kweli sababu hakuna wa kuwanyooshea , uwazi ulikuwa hamna ,hela iliyobak wanapewa wachina kwenye kandarasi kubwa nao wanaipeleka yote kwao , huku ndani mnabaki hamna kitu .... Kipind cha kikwete wezi walikuwa wengi na wanawekeza humu humu so hela inamfikia kila mmoja Kwa sehemu yake .... Jiwe alikuwa worst president ever basi Tu tusiongee Sana ....
 
Angefanyaje maana alikuwa anawasilisha kwa mkuu ndiyo alipaswa kutoa maamuzi.
Mama Aanze Na CAG Huyu Afutwe Kazi Haraka
Alifumbia Maovu Wakati Aliyaona Hadharani
[emoji21][emoji57][emoji848][emoji378][emoji876][emoji97][emoji100][emoji94]
 
Tawala bora na nguzo zake inasaidia kuanika haya mambo

Ukiona mtu anaukataa ujue kuna jambo

Mama aruhusu vyama vya upinzani waongee watakusaidia kupunguza hawa walaji mchwa
Hali ni mbaya sana
 
Mkuu ni sahihi lakini Tz imezidi hali ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…