Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 891
- 1,237
- Thread starter
- #181
Bajeti ya chato ilipitishwa na Bunge?Mimi alipomkataa Prof Asad kwa kupitia ndugai walimvua viatu kwenye kamati yao ya kihuni niliumia sana kwa kweli nikajua hapa hakuna biashara tushapigwa ingawaje mwanzo nilikua naona Kama kuna kazi inafanyika mara sijui bunge live hakuna mara taarifa habari za itv ziungwe kutoka TBC nikajua kazi tunayo hapa watu wapo milion ya 60 harafu unagawa hela kama sandakalawe barabarani kwa wachache baada ya kutengeneza mazingira kwa wote ndio kwanza matajiri unawachukia...