MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
" Yanga SC inafanya vibaya sasa ( kwa kutoka Sare ) mfululizo kwakuwa TFF na Kamati yake ya Nidhamu inatuhujumu mpaka leo haijakaa Kusikiliza Kesi zetu ", amesema Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC alipozunguza na Waandishi wa Habari muda mfupi tu uliopita leo hii.
Halafu Waafrika tukichekwa na Kudharaulika na Wakoloni Wetu ( hasa Wazungu ) na kuambiwa ni Wapumbavu ( yaani hatuna Akili ) tunabisha, Kuwakasirikia na Kuwanunia wakati Kiuhalisia huwa wapo sahihi kwa 100%.
Yanga SC fukuzeni upesi huyu atawaponzeni vibaya mno na hatimaye hata Ndoto zenu za Kuelekea katika Mabadiliko Kufifia au Kutopata Ushirikiano mnaoutaka sana.