Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
si hizo bawaba za mlango kwenye fridge
Bawaba za mlango?
Hiyo chuma labda kwenye mlango wa sungura Ndo inafit.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si hizo bawaba za mlango kwenye fridge
Toka nimtafute fundi fridge akaja kuongeza gas kwa kutumia mwanga wa mshumaa sina imani nao tena hawa mafundi, kilichomtokea nadhani ataweza sahau maishani kwake sijua ata kama anaendelea na iyo fani.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

Yule jamaa alikuja umeme umekatika akajifanya mtaalam aisee akasema apewe mshumaa bomu lililotokea pale mpaka ndugu yangu alinifungia nje kujiokoa, Jamaa mpaka leo hana nyusi unaweza fikiria ni alien [emoji89] yani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu tupe taarifa kamili
Umenifanya nicheke sanaYule jamaa alikuja umeme umekatika akajifanya mtaalam aisee akasema apewe mshumaa bomu lililotokea pale mpaka ndugu yangu alinifungia nje kujiokoa, Jamaa mpaka leo hana nyusi unaweza fikiria ni alien [emoji89] yani.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Nashauri tujibane tuweze kununua bidhaa zilizo bora ambazo tutakaa nazo muda mrefu bila kusumbua, tofauti ya bei sio kubwa.
Mfano nina fridge aina ya Samsung lina takribani miaka 14 halijawahi kunisumbua na ukiliona unaweza fikiri ni jipya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani brand nzuri kwenye fridge ni LG, Samsung na kuna baadhi ya kampuni I'm fine nazo ziko vizuri.Mimi nilinunua la hisense French door lina miaka 5 linanitesa tuu .