Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Wanabodi Salaam,
Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu wa mita 4 zote kwa pamoja zimetoka nje kidogo ya ule upana wa awali wa mita 9. Paa nataka kupaua gable kwa maana ya upande wenye m 9 na baraza zake zipande kuta za Gable.
1. Fundi namba moja Mbao 4x2 = 210, mbao 2x2 = 150,Bati 125, kofia 26, valley 14, misumari bati 37kg, misumari 4"kg 50, mbao za fisherboard 1x8 = 14.
Fundi namba 2 Mbao 2x4 = ft 2475, 2x2 ft 900, 1x10 ft 215, Bati mt 200, kofia mt 16, misumari 4"kg 30, 3"kg 2, misumari bati kg 20, kench wire 4
Mwingine anasema mpaka nike site nipime kwanza kingpost ndo nitajua. Shida yangu sana nikujua kwa mfano ninunue bati la mita ngapi ambalo litaanza juu mpaka kwenye roof overlap bila kukatwa, na kwenye baraza hapa nitumie bati la urefu gani kutoka juu mpaka baraza inapoanzia ili kupunguza wastage ya bati. make bati mita moja ni 25,130 sasa ukinunua bati ambazo zinakuja tu kukatwa ni hasara. naambatanisha muonekano plan ya nyumba.