Kwa Magufuli na Makonda;Mpira siyo Siasa wala maneno baali ni TAALUMA

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
6,710
Reaction score
9,063
Bila ya shaka yoyote Rais Magufuli na mtu wake anayempa kibri kila siku RC Makonda watakuwa wamepata jibu baada ya matokeo haya.
Wakenya wako vizuri kila idara! Kenyans are better than Tanzanians professionally,economically and politically. Ni akili finyu Kufikiri kuwa ukimpeleka Makonda ati atahamasisha timu ishinde! Tangu lini aliye nje ya pitch akafunga magoli?
Watanzania tuachane na huu ubazazi! MPIRA NI TAALUMA
 
Kweli mkuu..ila si mpira tu kila kitu kina wataalamu wake.
 
Hata uwapigie tarumbeta hao zero brains hawawezi kuelewa unasema nini. Tunasema tu for the record
 
Baba na mwana wanaimba na kucheza,ndaaaaaaaama mutoto wa ng'oooooooooombe.
 
Kama wangewapeleka wachezaji wa zamani wangefanya kazi nzuri kuwahamasishwa vijana wetu kuliko huyu aliyekwenda kuharibu hali ya hewa kuwaeleza mambo ya ilani CCM kwa sababu naamini sio vijana wooote ni wa hicho chama
 
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
 
Kama CCM Stars ilishindwa kuifunga Harambee ni basi tena. Kule Algeria mnaenda kuogeshwa magoli wakat mnateleleza ilani za chama z
 
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
Kweli kabisa!
 
Húyo aliempa ruhusa na aliyepewa ruhusa hawajui hata kupiga danàdana alafu eti akaongeze nguvu, basi angeenda na policcm ili wakaongeze nguvu zaidi kwa timu pinzani
 
Lakini jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni yeye kukamata na kuteka mbona kafaulu mkuu
 
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
THIS IS A PROFESSIONAL STATEMENT FROM A PROFESSIONAL FOOTBALLER。
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…