mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Mimi nipo Kilimanjaro gharama za usafiri ni shilingi ngapi?Gharama inategemea, mfano kwa hapa dar kutoka bandarini hadi Bunju inarange kwenye 200k to 250k
Zinasafiri kwa kupakiwa kwenye tella kwa kutumia winchi.
Mwenye connectionNatafuta eneo zuri lililochangamka Dar niweke container ft 20
Inaonekana kuna nati moja imelegea kunako sehemu. Wewe ni wa 41 kukomenti. Hujaona bei kutajwa hapo juu kweli?Ft 20 bei gani
DuhKontena zinahitajika kontena 3 budget 3m Mwenye nayo plz check now 0743941142
Kwa sababu containers zina registration ni lazima liwe na documentation, ulipataje, na aliyekupatia alipataje n. k.Kontena ni kama gari kwamba kuwa nalo lazima uwe na vielelezo? Na vipi kama huna hizo Documents unashitakiwa kwa kosa lipi?
Nani mwenye mamlaka ya kushtaki?
We zumbukuku kusoma hujui?20 Bei gani