Car4Sale Kwa mahitaji ya Containers (20ft&40ft) pitia hapa

Car4Sale Kwa mahitaji ya Containers (20ft&40ft) pitia hapa

Serekali ijitaidi kushusha bei kodi kwa. Contena na hizo nyumba wanazouza hso wachina huko online ili tupunguze utegemezi wa sement na mabati kwenye ujenzi hapa nchini
 
Nikimpta huyu fundi..nitakuja kuchukua la 20ft
Screenshot_20220525-232009_Instagram~3.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220525-232009_Instagram.jpg
    Screenshot_20220525-232009_Instagram.jpg
    32.4 KB · Views: 96
urgent:
hesabu za kodi na kusajili kampuni, muda sio rafiki
0788104228 - vunja bei
 
Gharama inategemea, mfano kwa hapa dar kutoka bandarini hadi Bunju inarange kwenye 200k to 250k
Zinasafiri kwa kupakiwa kwenye tella kwa kutumia winchi.
Mimi nipo Kilimanjaro gharama za usafiri ni shilingi ngapi?
 
Kontena zinahitajika kontena 3 budget 3m Mwenye nayo plz check now 0743941142
 
Kontena ni kama gari kwamba kuwa nalo lazima uwe na vielelezo? Na vipi kama huna hizo Documents unashitakiwa kwa kosa lipi?
Nani mwenye mamlaka ya kushtaki?
Kwa sababu containers zina registration ni lazima liwe na documentation, ulipataje, na aliyekupatia alipataje n. k.
 
Hivi kudesgn kontena likawa office flani hizi tsh ngapi
 
Back
Top Bottom