wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kameoga rangi kanang'aa Kama bati la msauzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Kwenye simu m-pesa nina laki mbili na elfu themanini tu.
[emoji28][emoji28][emoji28] njoo ununue acha izo mkuuKameoga rangi kanang'aa Kama bati la msauzi.
Gari inayoendana na Hali Ya Tozo Kabisa[emoji28]Vitz gari ngumu sana na kuitengeneza ni cheap compared to many small vehicles
Wamekapakaa na mafuta ya watoto ya nazi .....KANANUKA NAZI😅😅😅Kameoga rangi kanang'aa Kama bati la msauzi.
Unakomkenti kwenye Uzi wako mwenyewe (kwa ID tofauti?)Sh ngp hii million 12 natoa
Sh ngp hii million 12 natoa
hahahaUnakomkenti kwenye Uzi wako mwenyewe (kwa ID tofauti?)