Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Hapana mkuu, umenifurahisha style yako ulivyoanza kwa kichwa kinachovutia then nakuja realize unauza kiwanja. Natamani kununua na kuwekeza Dom ila nafasi imenibana
Hahahaha,nimekuelewa vizuri sana mkuu.Thanks,tuko pamoja
 
Nahitaji eneo lililopimwa bajet yangu mil3 ila sikufichi mimi ni mwanajeshi ulinidhulumu utarud kuwahadithia humu yatakayokusibu. Natanguliza shukrani


Mwanajeshi ndo nini? We sema asikuzulumu, ila uanajeshi ni kazi tu kama kazi nyingine
 
Namshangaa.... ndo wale wenye vivyeo vya chini... uanajeshi ni nidhamu na sio matisho ....haifai kabisa ndugu
Umepigilia msumari vizuri apo kwenye cheo cha chini.Mara nyingi watu wenye vyeo vya chini huwa na mbwembwe na tambo nyingi sana
 
Nahitaji eneo lililopimwa bajet yangu mil3 ila sikufichi mimi ni mwanajeshi ulinidhulumu utarud kuwahadithia humu yatakayokusibu. Natanguliza shukrani
Mbwembwe za kizamani hali hata cheo huna ukijapanda na cheo sijui itakuwaje.!
 
Mkuu tumekusoma lakini Ali tete punguza bei

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…