Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mkuu mbona tambo za kizamani izo ata si tulishaziacha toka niko 824jkt kanembwa miaka iyo.nakuomba PM tuyajengeNahitaji eneo lililopimwa bajet yangu mil3 ila sikufichi mimi ni mwanajeshi ulinidhulumu utarud kuwahadithia humu yatakayokusibu. Natanguliza shukrani
Nimempa taarifa kuwa yeye anataka heka moja kwa 5mln pale mkalama area. nimempa taarifa kuwa mkalama walikuwa wanauza 1sqr meter kwa elfu kumi. je nimekosea wapi?Duh,uko wapi mkuu??eka moja ni 4000 square metre.kwa madai yako ni milioni 4 si ndio?kuna vigezo vingi vya ziada mkuu
sawa.Habari zenu wakuu!
Naomba kuwashauri watu wote wanaotaka kuhamia dodoma na wana mpango wa kujenga na hawana viwanja kuwa muda wa kununua viwanja ni sasa endapo utachelewa basi gharama itakuwa kubwa zaidi.maeneo yapo mengi na mazuri kwa makazi,biashara na huduma zingine za kijamii kama vile shule,hospitali,n.k!!!kwa mfano mdogo kuna maeneo kama unaenda machinjion dodoma mjini yako bado wazi afu kuna makazi mengi sana jirani yake,na watu wanafata huduma za kijamii mbali.hakuna shule wala hospital jiran!!!nina eneo pia la ekari 5 maeneo ya mnadani kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane.nauza milioni 5 kwa ekari moja(4000square metres) bei sawa na bure.karibuni sana muda ndio huu
Contact; 0767833496
Nawasilisha
Mimi nipo interested kununua ....ila nataka kufahamu background ya umiliki wako je ? ulinunua ama ulirirhishwa? na una docsHabari zenu wakuu!
Naomba kuwashauri watu wote wanaotaka kuhamia dodoma na wana mpango wa kujenga na hawana viwanja kuwa muda wa kununua viwanja ni sasa endapo utachelewa basi gharama itakuwa kubwa zaidi.maeneo yapo mengi na mazuri kwa makazi,biashara na huduma zingine za kijamii kama vile shule,hospitali,n.k!!!kwa mfano mdogo kuna maeneo kama unaenda machinjion dodoma mjini yako bado wazi afu kuna makazi mengi sana jirani yake,na watu wanafata huduma za kijamii mbali.hakuna shule wala hospital jiran!!!nina eneo pia la ekari 5 maeneo ya mnadani kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane.nauza milioni 5 kwa ekari moja(4000square metres) bei sawa na bure.karibuni sana muda ndio huu
Contact; 0767833496
Nawasilisha
Mimi sijasema kuna vumbi kushinda sehemu hizo.. Bt kuna vumbi hasa kipindi hiki..Inaonekana hukukaa dodoma umepita tu.kama ni vumbi kuna mikoa ni kiboko gusa mbeya,tabora,n.k!!!hujatembea wewe,uliza watu waliotembea
Asante mkuuTANGAZA VIWANJA VYAKO KUPITIA www.shushabei.com NI BURE KABISA
ThanksMkuu mi sio dalali labda ntakusaidia kuuliza.ntakufata PM kama ntapata majibu yoyote
Hapana mkuu, umenifurahisha style yako ulivyoanza kwa kichwa kinachovutia then nakuja realize unauza kiwanja. Natamani kununua na kuwekeza Dom ila nafasi imenibanaUtabaki ivo ivo mkuu darcity.utapata mrejesho kwa watakaonunua
Ok mkuu nilikuwa mbali na simu.Nimekujibu PM mkuu