Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

mkuu naelewa CDA imeshafutwa ila master plan yake yaijafutwa hivyo nilitaka kujiridhisha nikaa kilimani mtaa wa tambukareli nitakucheki
Karibu sana mkuu.nina jingine liko tanesco kama unaenda michese ukintafuta nitakutumia picha,ila uzi wake hata humu jf upo
 
MHESHIMIWA HILI ENEO LIMEPIMWA AU BADO?
Manispaa wameshaanza kupima bado hawajafika kwaiyo bado halijapimwa ila ni la makazi ya watu na wanajenga.karibu sana vitaisha si muda ukichelewa,huitaji kusita
 
Hiyo bei ni nzuri sana hasa ukichukulia tayari investment ya pesa nyingi imefanyika kwenye ujenzi hapo, tatizo ni kumpata mtu anayehitaji hizo investments zako, na ana plani kama zako yaani anahitaji nyumba yenye vyumba12 na pagale moja, binafsi nakutakia kila la kheri
 
Manispaa wameshaanza kupima bado hawajafika kwaiyo bado halijapimwa ila ni la makazi ya watu na wanajenga.karibu sana vitaisha si muda ukichelewa,huitaji kusita
Dalali hajifichi..kama pembe la ng'ombe
 
Duh!!!CDA mbona imefutwa muda mkuu,uko wapi?

Si madeni, mali na kila kitu vimehamishiwa mahali. Ama watakanishauri nami niwahi majengo / viwanja / magari ya iliyokuwa CDA kwa kuwa imefutwa???!!!!!!!!!!!!!
 
Hiyo bei ni nzuri sana hasa ukichukulia tayari investment ya pesa nyingi imefanyika kwenye ujenzi hapo, tatizo ni kumpata mtu anayehitaji hizo investments zako, na ana plani kama zako yaani anahitaji nyumba yenye vyumba12 na pagale moja
Iyo atajua mwenyewe kama hataki si anavunja anaendelea na anachokitaka yeye
 
Dalali hajifichi..kama pembe la ng'ombe
Duh,kisa lugha ya biashara?nashida na hela mkuu.naomba kama ukigundua mi ni dalali basi tengeneza uzi jf na namba yangu ya simu ni 0767833496
 
Si madeni, mali na kila kitu vimehamishiwa mahali. Ama watakanishauri nami niwahi majengo / viwanja / magari ya iliyokuwa CDA kwa kuwa imefutwa???!!!!!!!!!!!!!
Hahaha,mkuu umeenda mbali sana
 
Hiyo TANESCO ndo eneo gani Dodoma? kwanini hutoi maelezo ya kutosha? TANESCO iko mjini katikati kama karibu na manispaa, sasa hapo eneo linatoka wapi? acha utapeli au nyoosha maelezo.
 
Hiyo TANESCO ndo eneo gani Dodoma? kwanini hutoi maelezo ya kutosha? TANESCO iko mjini katikati kama karibu na manispaa, sasa hapo eneo linatoka wapi? acha utapeli au nyoosha maelezo.
Unakaa dodoma mkuu?afu naomba uwe na heshima katika kauli zako,unanifahamu mkuu mpaka unaniita TAPELI,hii jamii forum shauri yako hatuko sawa wote humu.maelezo yangu yanasema tanesco kama unaenda michese unataka maelezo yapi
 
TANESCO ipi? kwanini usielekeze watu vizuri? mimi nakaa Dodoma na nataka nikapaone, nielekeze sasa
 
TANESCO ipi? kwanini usielekeze watu vizuri? mimi nakaa Dodoma na nataka nikapaone, nielekeze sasa
Unakaa dodoma maeneo gani mkuu?naomba tuwasiliane nikupeleke nadhani hiyo ndo njia rahisi ya kukufikisha eneo lilipo
 
Back
Top Bottom