Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Mkuu kuna usemi kimfaacho mutu ni chake,huna namna yoyote ya kuingiza kipato na ww uko na shida UZA lakini baadeni itakuja kilio tu,ooh sikujua ooh pale palikuwa pangu lakini wapi imekwenda hio.kaa chini tafakali najua eneo umelipata dezo so halina hasara.tafakari chukua hatua
 
Thanks so much Mkuu kwa ushauri,ila ninatambua fika nini nachotaka kukifanya.
 
Ygggyyg
 
Aiseeeee!!! Ninavyofahamu mimi maeneo ya mbuyuni yana wamiliki na yalishapimwa na waliomo humo ni wavamizi na walishapewa namba ili wapewe viwanja mbadala. Je hukupewa namba?
 
Aiseeeee!!! Ninavyofahamu mimi maeneo ya mbuyuni yana wamiliki na yalishapimwa na waliomo humo ni wavamizi na walishapewa namba ili wapewe viwanja mbadala. Je hukupewa namba?
Mkuu eneo haliko mbali na mbuyuni ilipo.sio kwamba ni mbuyuni!!!nadhani kwa hilo utakuwa umenielewa
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!!Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida kama 1.1km,makazi ya watu yako karibu sana na watu wanajenga nyumba za kisasa.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts Tel:0767833496/Email;stevenmasaka@gmail.com/>
 
Sasa mkuu badala ya kuweka picha ya eneo husika unaweka picha ya barabara, kwani unauza barabara mkuu.

Ni umbali gani toka hiyo barabara ya kwenda singida mkuu?
 
Nimekuelewa mkuu, unafika Nala?? Hiyo bei naona kweli ni reasonable kabisa...hongera. Ngoja tupime mifuko
 
Sasa mkuu badala ya kuweka picha ya eneo husika unaweka picha ya barabara, kwani unauza barabara mkuu.

Ni umbali gani toka hiyo barabara ya kwenda singida mkuu?
Nimekuelewa mkuu.ni umbali kwa kama 1.1km kuikuta barabara ya kwenda singida!!sina picha zilizokaa vizuri nikizipata nitawaletea
 
Nimekuelewa mkuu, unafika Nala?? Hiyo bei naona kweli ni reasonable kabisa...hongera. Ngoja tupime mifuko
Hapana mkuu hufiki nala(nala ni mbali).pale pale machinjioni kwa ndani kidogo!!!pia ukihitaji chini ya eka napima,ni maelewano tu mkuu.karibu sana
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!!Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida kama 1.1km,makazi ya watu yako karibu sana na watu wanajenga nyumba za kisasa.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts Tel:0767833496/Email;stevenmasaka@gmail.com/&gt; <br />
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!!Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida kama 1.1km,makazi ya watu yako karibu sana na watu wanajenga nyumba za kisasa.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts Tel:0767833496/Email;stevenmasaka@gmail.com/&amp;gt; &lt;br /&gt;
 
Ni dhahiri bado watu hawajaamka kwenda nunua viwanja Dodoma....
 
Hela ndo tatizo Steve, kama we ulivokwama ndo hivo tumekwama wengi..... Usishangae kushusha hadi laki bado tukakwama
 
Duh.. Dodoma ni kama Jangwani kabisa.

Mkuu vipi, eneo limepimwa??
Hahaha,kaka dodoma pazuri mbona.To be honest halijapimwa,hata ukiliangalia bado halijasafishwa vizuri zaidi.nilikuwa mbali kwa muda mrefu mkuu!
 
Mikoa mongine tabu tupu, sisi tusiopenda kukaa ndani kivuli cha miti itakuwaje kama uoto wenyewe ndo huo
 
Hahaha,kaka dodoma pazuri mbona.To be honest halijapimwa,hata ukiliangalia bado halijasafishwa vizuri zaidi.nilikuwa mbali kwa muda mrefu mkuu!
Poa mkuu na kila la kheri. Ila ungelipimisha thamani ingeongezeka zaidi. Kwa umbali huo toka mjini, likiwa limepimwa utaliza fasta kuliko kama halijapimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…