Kwa Mahitaji ya Nyumba za Kupanga Jijini Mbeya

Mkuui habari?
Hujatoa up date kitambo vipi kulikoni?
Inapendeza sana ukiendelea kutujuza
Usichoke ndo kazi mkuu
 
Mkuui habari?
Hujatoa up date kitambo vipi kulikoni?
Inapendeza sana ukiendelea kutujuza
Usichoke ndo kazi mkuu
Mkuu habari ni nzuri na Mungu anajalia uzima. Majukumu yaliongezeka kidogo muda ukawa mfinyu. Ila huduma zipo na zinapatikana kama kawaida. Tuwasiliane ukihitaji Mkuu.

Namba ya 0620 538 081 isipopatikana, tuwasiliane kupitia 0752 771 553.
 
Last edited:
House for rent
Location: Block T
Self contained with sitting room.
Rooms; 3
Kitchen; YES
Parking: YES
Security: YES
Water: 24 hours.
Payment: 6 Moths
Tiles: YES
Fee: 200,000
Call: 0620 538 081

 
Last edited:
House for rent
Location: Block T
Self contained with sitting room.
Rooms; 3
Kitchen; YES
Parking: YES
Security: YES
Water: 24 hours.
Payment: 6 months
Gypsum: YES
Tiles: YES
Fee: 250,000
Call: 0620 538 081
 
Last edited:
Habari,nahitaji nyumba iwe mpya na ya kisasa,iwe na vyumba 2 au 3,viwe self,sitting rum,kitchen,store,dinning rum na parking,yenyewe ndan ya fence..Iwepo maeneo ya iwambi,uzunguni na maeneo kama hayo yaliyotulia...budget 300,000/= ..nahitaji ndani ya wiki ijayo mapema j5...no 0743185408..
 
Habari ndugu,
Nahitaji nyumba ya kupanga vyumba viwili au vitatu iwe na fence ambayo gari inaweza kuingia, sitting room, dining, kitchen. Chumba kimoja kiwe master. Maeneo ni Ilomba, Sai,Mwambene na Soweto. Maeneo si lazima saana kama kuna sehemu nyingine naweza kungalia pia. Budget yangu ni 200,000/tshs kwa mwezi. Nipo tayari kulipa miezi sita.
 
Number yang 0754 481519
 
pesa ya dalali ya mwezi umeandaa??
 
Two Apartments for rent.
Location: Relini karibu na kwa Mbunge Sugu.
Self contained
Water: 24 hours.
Parking: YES
Rooms: 2
Sitting room; YES
Kitchen: YES
Fee: 150,000 @.
Security: YES
Payment: Three, four or six months.
Call: 0620 538 081
Raha ya mbeya hyo yaan soon narud zangu tu mbeya dar sasa hv umeharibika kabisa yaan vyumba bei alafu pesa hakuna.
 
Mkuu bado ni dalali?
Nahitaji nyumba ya vyumba vitatu. Ninahamia Soweto. Kwahiyo nyumba iwe karibu na hayo maeneo. Naweza pata, bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…