Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni room 2 tofauti?Room for rent
Location: Soweto
Self contained room: YES
Sitting room: YES
Water: 24 hours.
Parking: YES
Fee: 60,000
Payments: 3 months
Gypsum: YES
Tiles: YES
Call: 0624 06 06 62
~Je, wewe ni Mgeni au Mwenyeji na unahitaji nyumba ya kupanga Jijini Mbeya.?
~Je, wewe ni Mfanyabiashara/Mjasiriamali na unahitaji sehemu ya kufanyia biashara Jijini Mbeya.?
~Je, wewe ni mmiliki wa Nyumba au sehemu ya biashara na unahitaji Mpangaji Jijini Mbeya.?
Usisumbuke, tupo kwa ajili ya kukurahisishia upatikanaji wa huduma unayohitaji.
Umakini, huduma ya haraka, uaminifu na udugu ni misingi na nguzo kuu kwa huduma zetu.
Mawasilaino: 0624 06 06 62.
Email: fajestz@gmail.com
Chief hivyo vyumba vyote viwe self, au master room na single moja.? Je, viwe vyumba pekee bila sitting room.?Nahitaji vyumba viwili. Parking ya gari iwepo ulinzi uwe wa kutosha, vyumba hivyo vijitegemee jiko na washroom na isiwe nyumba ya zamani sana. Maeneo ni VETA, Isyesye, Block T na Forest mpya. Ikipatikana ni PM
Hata ukipata za room mbili za kulala na sitting inafaaMkuu, tumepigana sana lakini Nyumba kwa kodi ya 70,000 yenye rooms 3 hatukufanikiwa kuipata. Nyingi zinaanzia 120K, 150K. Nawasilisha Mkuu..
Chief, kwa fee ya 70,000 Katika mitaa unayohitaji (UYOLE, FOREST YA ZAMANI, JAKALANDA), Utapata ila siyo Self contained. Vinakuwa na hali nzuri si local kivile.Hata ukipata za room mbili za kulala na sitting inafaa