Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PLOTS FOR SALE
Location : Isyesye
30 x 25 Price 4.5 M
30 x 27 Price 3.5 M
30 x 24 Price 3.5 M
20 x 17 Price 3M
22 x 20 Price 3M
Price negotiable : YES
HATI/ Certificate : NO
Call 0624 06 06 62.
Kama ipo ni pm kwa mazungumzo zaidiNahitaji Nyumba Nzovwe vyumba vitatu jiko,store,master room, public toilet,dinning and sitting room,water na geti kama inapatikana na iwe karibu na barabarani
Ila isiwe kama ile niliyoiona majuzi vyumba kama banda la kufugia simbilisi hakuna pa kugeukiaOmbi lako tunalifanyia kazi. Ntakujuza hivi punde..
Mkuu, kwanza tunaomba radhi kama hukupatiwa huduma sawa na hitaji lako, wakati mwingine inatokana na kushirikiana na watu wengine, sasa tunatofautiana namna ya kumuhudumia mteja.Ila isiwe kama ile niliyoiona majuzi vyumba kama banda la kufugia simbilisi hakuna pa kugeukia
OK ipo pande zipi hapo Nzovwe?Mkuu, kwanza tunaomba radhi kama hukupatiwa huduma sawa na hitaji lako, wakati mwingine inatokana na kushirikiana na watu wengine, sasa tunatofautiana namna ya kumuhudumia mteja.
Hitaji lako tayari tumelifanyia kazi na kuna nyumba mbili, moja inajitegemea na nyingine unaishi upande wa mbele yaani kunakuwa na mtu mwingine. Fee yake ni Tshs 200,000. Karibu utembelee eneo husika kwa ajili ya ukaguzi. Unaweza kunicheki kwa 0624 06 06 62 au ukaniPM namba yako. Ahsante..