Kwa mahitaji ya Wallpapers, Na installation kupamba ndani kwako, pitia uzi huu

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
HABARI WAKUU,
Kwanza nianze na gharama ya kila kitu kwa ufupi kisha mwisho ni malize na sample ya kazi zangu,

•Roller moja ya wallpaper ni Tsh.20,000/= ina urefu mita 10, Upana Cm 50 so kwa expirience yangu roller moja huwa unamaliza mita 1.5 ya upande mmoja wa kuta.

•Gundi ni Tsh.10,000/= hii inawezo wa kubandika rollers tatu +

•Installation/Ufundi, Hapa kama utahitaji huduma ya kubandikiwa kabisa basi gharama itakuwa Tsh.10,000/= kwa kubandika kila roller moja.

Mwisho, Wallpapers hubadili muonekano wa ndani kuwa maridadi mno na wenye kuvutia, Mimi pia ni mpenzi wa wallpapers kwa kuwa pia napenda muonekano mzuri wa ndani kwangu.... Baadhi ya samples za kazi zangu hizi hapa⬇️

Kama upo interested na unahitaji pia waweza kunicheki WhatsApp 0685269533 nikutukie sampo uchague rangi uitakayo,

Huduma za Delivery na kutumiwa kwa wale mlio nje ya Dar es Salaam ipo kwahiyo hakuna cha kukwamisha tu zaidi ya hela kutowepo.

Karibuni
 
More works🚀
 
ukuta mmoja wa chumba wa kawaida unacost bei gan?
inategemea na ukubwa wa chumba husika ila mostly huwa upande mmoja unamaliza rollers mbili ambapo jumla vyote pamoja na installation huwa ni Tsh.65,000
 
Thank you bossfrom herehere... Ahsante kwa support, Leo tumetisha✊
 
AHSANTENI WOTE MNAOENDELEA KUSUPPORT📌
 
Wallpaper 📌
Gheto la msela limepoa🥶🥶🥶⬆️

»Roller moja Tsh.20,000/=
»Gundi Tsh.10,000/=
»Installation Tsh.10,000/= per each roller.
 
Thank you boss
 
inategemea na ukubwa wa chumba husika ila mostly huwa upande mmoja unamaliza rollers mbili ambapo jumla vyote pamoja na installation huwa ni Tsh.65,000
Unaweza kuweka kwenye ukuta usiopigwa plaster!?
 
Much love big boss❤️✊
 
Available✅
Size: 10m " 60cm.
Price: Tsh.30,000/= per one roller.
Gundi: Tsh.10,000/=
Installation: Kama utahitaji ni Tsh.10,000 per each roller.

"Utofauti wa hizi na zile ni kwamba hizi zina ubora zaidi na pia huweka uhalisia kwenye ukuta kiasi kwamba ni ngumu mtu kuelewa kama ni wallpaper au ni rangi ya ukuta wako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…