Kwa mahitaji yote ya nafaka

Kwa mahitaji yote ya nafaka

Kyambambembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
326
Reaction score
353
Kwa mahitaji yote ya Nafaka kama mchele, Mahalagwe, Ulezi, nk pia na bidhaa zake kama Unga wa Sembe na Dona naomba tuwasiliane kumbuka tunauza kwa jumla pia mzigo utafikishiwa Mpaka ulipo. Sim no +255752 842099, +255786842099.
 
Ofisi zetu zipo Mbeya na bidhaa zetu zinattoka Mbeya Taasisi zote na Mahotel mnakaribishwa.
 
Kwa mahitaji yote ya Nafaka kama mchele, Mahalagwe, Ulezi, nk pia na bidhaa zake kama Unga wa Sembe na Dona naomba tuwasiliane kumbuka tunauza kwa jumla pia mzigo utafikishiwa Mpaka ulipo. Sim no +255752 842099, +255786842099.

Uwele unao mkuu?
Bei gani hadi Dar.?
Kilo ngapi minimam (kuanzia) mtasafirisha?
 
Hapa ninao kidogo, unahitaji kiasi gani nikutafutie?
 
Back
Top Bottom