Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka....ila mie kitakuwa cha kugegedea warembo wa first yearNaomba kuuliza...
Kwa maisha ya chuo, kati ya kukaa hostel na kupanga chumba (Geto) ipi ni nzuri
Team hostel VS Team Magetoni
______________________
Unataka chumba cha kupanga single au master maeneo ya Kigamboni karibu na Ferry, au Magomeni Sinza, Ubungo Makumbusho na maeneo mengineyo hapa Dar?
Comment "Nataka"
Upate room chap chap
Piga: 0759448927
Dalali kwenye 1 na 2🙂Naomba kuuliza...
Kwa maisha ya chuo, kati ya kukaa hostel na kupanga chumba (Geto) ipi ni nzuri
Team hostel VS Team Magetoni
______________________
Unataka chumba cha kupanga single au master maeneo ya Kigamboni karibu na Ferry, au Magomeni Sinza, Ubungo Makumbusho na maeneo mengineyo hapa Dar?
Comment "Nataka"
Upate room chap chap
Piga: 0759448927
Hahahah... humu tu... humu tu...Nataka....ila mie kitakuwa cha kugegedea warembo wa first year
Ngoja watakujibu tu☺️☺️Dalali online!
Nimekuja mbio nijue mbivu na mbichi za kukaa hostel kumbe uko kazini mkuu?
😊😊😊😊😊😊Dalali kwenye 1 na 2🙂
Asante sana... Mungu aku bless🙏🙏🙏Duh kweli ndo tangazo umeamua ulibuni namna hii ..kweli mambo ni mengi muda mchache hongera content creator mjasiriamali
Nakubali mwanaharakati🤝
😂😂😂 iyo kaliiiNzuri ni kukaa Kwenu au Ubalozini.
Mambo ya baby oil 😊😊😊Geto la p Diddy?
Mapema tu mkuu☺️☺️Mkuu tangazo umelipia??
Kweli?Kuishi geto ni mateso tu. Bora kuishi hostel. Kula ni cafeteria! Hakuna mambo ya kuchangia sijui umeme, maji, nk! Hakuna vibaka wa kuvizia laptop, nk!
Inakupa uhuru wa kufanya matendo ya mitume bila kushtukiwa maana wataamini wewe bado mtoto.😂😂😂 iyo kaliii