Kwa maisha ya chuo, kati ya kukaa hostel na kupanga chumba (Geto) ipi bora

Naomba kuuliza...

Kwa maisha ya chuo, kati ya kukaa hostel na kupanga chumba (Geto) ipi ni nzuri

Team hostel VS Team Magetoni
______________________

Unataka chumba cha kupanga single au master maeneo ya Kigamboni karibu na Ferry, au Magomeni Sinza, Ubungo Makumbusho na maeneo mengineyo hapa Dar?

Comment "Nataka"

Upate room chap chap

Piga: 0759448927
Mwaka wa kwanza kaa chuo ili uziee mazingira baada ya hapo mwaka unaoendelea tafuta geto changia na mtu mmoja msiwe zaidi ya wawili kwakua hamtakua serious kwenye mambo ya chuo, hapo itakusaidia hata ukimaliza kuendeleza chumba chako kuanza saka ajira,ukiwa mwaka wa pili tafuta kazi za jioni/ucku zitakutoa sana kuongeza na kubadilisha mboga km callcenter,data entry or kazi za viwandani bali.
 
Asante mkuu... hapo kwenye data entry kama umenigusa japokuwa nimemaliza but Niko interested na hii issue nipe Mbinu(Tips) napataje hii issue. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom