Kwa maisha ya chuo, kati ya kukaa hostel na kupanga chumba (Geto) ipi bora

Nataka....ila mie kitakuwa cha kugegedea warembo wa first year
 
Dalali kwenye 1 na 2πŸ™‚
 
Kuishi geto ni mateso tu. Bora kuishi hostel. Kula ni cafeteria! Hakuna mambo ya kuchangia sijui umeme, maji, nk! Hakuna vibaka wa kuvizia laptop, nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…