Kwa maisha ya chuo, kati ya kukaa hostel na kupanga chumba (Geto) ipi bora

Mwaka wa kwanza kaa chuo ili uziee mazingira baada ya hapo mwaka unaoendelea tafuta geto changia na mtu mmoja msiwe zaidi ya wawili kwakua hamtakua serious kwenye mambo ya chuo, hapo itakusaidia hata ukimaliza kuendeleza chumba chako kuanza saka ajira,ukiwa mwaka wa pili tafuta kazi za jioni/ucku zitakutoa sana kuongeza na kubadilisha mboga km callcenter,data entry or kazi za viwandani bali.
 
Asante mkuu... hapo kwenye data entry kama umenigusa japokuwa nimemaliza but Niko interested na hii issue nipe Mbinu(Tips) napataje hii issue. Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…