Kwa maisha yalivyonipiga aisee nahisi hii ni laana ya kukimbia seminari na kuacha upadri

Kwa maisha yalivyonipiga aisee nahisi hii ni laana ya kukimbia seminari na kuacha upadri

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Kiukweli maisha yamenifilimba sana na wala sijui shida ilikuwa wapi ila kiukweli nahisi hii ni laana ya kuacha au kukimbia seminarini peramiho kwenye mafunzo ya upadri na ilibakia hivi nimalize ila tu maisha ya dunia yalinipitia aisee au nahisi ni sheitwani alinishawishi

Nataka nifanye mpango niende kufanya kitubio pale st.peters masaki kwenye kanisa katoliki au wakuuu kuna utaratibu gani? Je naweza kurudi seminari na kuendelea na masomo ya upadri?

:Naombeni au mnipe ushauri:

" Allah pleaase stand with palestine"
 
hahaa wewe si diaspora unakula maisha mambele?

 
Rejea,kama haujaoa na huna mtoto.
 
Back
Top Bottom