Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,181
- 675
wiki iliyopita nilikwenda hospitali ambayo ni private, ni baada ya kutojisikia vizuri kiafya, baada ya maelezo yangu ilionekana nipime malaria (bs) pia dr akaandika na kipimo kingine kilichosomeka correctol katika karatasi lao. Majibu yalipotoka, kwenye bs ilikuwa nil lakini hiki kipimo kingine kiliandikwa positive. Na niliambiwa hicho ni kipimo cha typhoid. Nikahoji hiyo typhoid iko ngapi? Wakasema haionyeshi ni ngapi na nikitaka kujua ni ngapi ni mpaka vipimo vikae masaa 24. Naombeni msaada kwa wanaojua haya mambo napata hofu isije kuwa ni positive ya hiv na pengine nimedanganywa tu kuambiwa ni typhoid asanteni
h.i.v cku hizi hawafichi kabisa wangekuambia wanakuogopa nini? Achana na hizo hofu za kujijengea.