Kwa majibu haya ya daktari nina hofu na afya yangu


h.i.v cku hizi hawafichi kabisa wangekuambia wanakuogopa nini? Achana na hizo hofu za kujijengea.
 

Niliona hilo neon la pili yaani chorestol, mwanzo nilichanganya spelling, fani za watu hizo, Pili nimesema cheap labour, ni kweli na nilikwenda hapo kwa sababu mimi ni mfanyakazi wa kampuni na kampuni yetu imeingia mikataba na hizi hosp za private, na ukiingalia kwa haraka haraka mjengo ni wa uhakika, lakini ukija kwa upande wa wafanyakazi ni majanga imekuwa ni mahali pa kufanyia field za kila kitengo hasa manesi na ma dr kwa uchache. au dr anaekosa ajira serialini pale hakoso kazi..vile2 nilijiahidi kuto kutibiwa hapo baada ya miaka ya nyuma kutaka kuua mtt wangu mdogo 9 months kwa kutaka kumchoma sindano ya ugonjwa ambao hakuwa nao, thanks to God kwamba pamoja na kulazimisha kwa means zote za kutafuta mshipa zilishindikana, ndiyo ilikuwa pona pona yangu. ni kwa muda mrefu saaana sijaenda pale, sasa juzi naenda mimi tena naambiwa juu juu tu kwamba eti POSITIVE na nijuavyo mimi typhoid ina viwango tofauti tofauti. hosp iko karibu na kibaruani kwangu pia niliona ni tatizo ambalo ni dogo lingeweza kupatiwa ufumbuzi bila complication kama hizo za ku generalize maadam ni bacteria haimpi uhalali dr kuandika majibu ya jumla kama mafungu ya nyanya sokoni. asante
 
h.i.v cku hizi hawafichi kabisa wangekuambia wanakuogopa nini? Achana na hizo hofu za kujijengea.

Ni kweli mkuu wangeniambia, ila tu pale endapo ningekuwa na utayari wa kuambiwa, japo najua sana kuwa wanatupima kila siku tuendapo kutibiwa na hawatuambii kwa kuwa tunakuwa hatuko tayari kupokea majibu ambayo ni positive, naamini wao wana symbols zao wanazozitumia ambazo sisi tunakuwa hatuzijui. eti wanakusanya data ambazo mimi nasema ni wrong data.
 
ahaaaaaa 3bora nimecheka thana mm ni mbili bora

Kama ni kweli basi wewe ni sawa sawa na mimi na nadhani tungefahamiana tungeelewana vizuri maana ndege wafananao huruka pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…