Kwa majibu haya ya Hanspope, Simba daini pesa zenu kwa Mavugo maana maigizo yameendelea

Hii mbona haijakaa sawa kwa mchezaji kuwa na mkataba na raisi wa klabu na sio klabu husika?
 
duniani kuna vituko mfano ulishawahi kusikia timu inakodishwa kama gauni la harusi..
Alafu akimaliza mkataba wake huyo Mangi nami nataka kuikodi, bahati hii wa aihitaji mtaji maana inakodishwa kwa mkopo, ambao hauna maalewano kuwa ukikaa nayo muda gani upeleke kiasi gani, hii mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…