Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duniani kuna vituko mfano ulishawahi kusikia timu inakodishwa kama gauni la harusi..Hii mbona haijakaa sawa kwa mchezaji kuwa na mkataba na raisi wa klabu na sio klabu husika?
Alafu akimaliza mkataba wake huyo Mangi nami nataka kuikodi, bahati hii wa aihitaji mtaji maana inakodishwa kwa mkopo, ambao hauna maalewano kuwa ukikaa nayo muda gani upeleke kiasi gani, hii mzuri sana.duniani kuna vituko mfano ulishawahi kusikia timu inakodishwa kama gauni la harusi..