Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Raisi ndiyo anasababisha umasikiniNikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari,
CCMNikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa, lakini kinyume chake raia wetu maskini wa kutupa, huku viongozi wakiishi kwenye utajiri mkubwa na maisha yaanasasa, mfano mishahara yawabunge vs ya walimu.
Nana anayesababisha huu umaskini?
Sasa tufanyaje ili tuondokane na huu umaskini? Kwa ushauli wako
Inamaana hakuna mbadala wa CCM, atlesti tukubali tuwape wenzentu inchi waongoze hata kwa miaka mitano, yawezekana sisi CCM uwezo wetu wa kufikili umefika mwisho
Kwani ccm wanasemaje?Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa, lakini kinyume chake raia wetu maskini wa kutupa, huku viongozi wakiishi kwenye utajiri mkubwa na maisha yaanasasa, mfano mishahara yawabunge vs ya walimu.
Nana anayesababisha huu umaskini?
Soma Isaya 50 mstari wa 11Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa, lakini kinyume chake raia wetu maskini wa kutupa, huku viongozi wakiishi kwenye utajiri mkubwa na maisha yaanasasa, mfano mishahara yawabunge vs ya walimu.
Nana anayesababisha huu umaskini?
Ili uondokane na umasikini wa kipato ni sharti na ni lazima ufanye kazi kwa bidii,juhudi na maarifa.Ni lazima ujitume kwelikweli,ni lazima ujitoe na kuwa na malengo mazuri,ni lazima uzitumie vyema fursa za kiuchumi zinazopatikana katika eneo lako au nje ya eneo lako,ni lazima uwekeze katika miradi mbalimbali na uweke akiba na hiyo akiba izalishe na kuleta faida na hiyo faida ilete na kuongeza mtaji wako.
Kosa kubwa ni kuwapa wabunge mshahara mkubwa wakiwa wawakilishi wa raia masikini.Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa, lakini kinyume chake raia wetu maskini wa kutupa, huku viongozi wakiishi kwenye utajiri mkubwa na maisha yaanasasa, mfano mishahara yawabunge vs ya walimu.
Nana anayesababisha huu umaskini?
Umeongea ukweliKosa kubwa ni kuwapa wabunge mshahara mkubwa wakiwa wawakilishi wa raia masikini.
Viongozi wakiwamo wabunge hawajui hali halisi ya wananchi na hivyo kutokufanya jitihada zinazolongangana uhitaji kifikra na kivitendo.
CCM ni wa kufukuzwa wao na makopo yao.Ni vichaa hao.Sasa tufanyaje ili tuondokane na huu umaskini? Kwa ushauli wako
Unaonaje kama tukiwapisha na wenzetu waje wajalibu, labda watakuja na mbinu tofauti na sisiIli uondokane na umasikini wa kipato ni sharti na ni lazima ufanye kazi kwa bidii,juhudi na maarifa.Ni lazima ujitume kwelikweli,ni lazima ujitoe na kuwa na malengo mazuri,ni lazima uzitumie vyema fursa za kiuchumi zinazopatikana katika eneo lako au nje ya eneo lako,ni lazima uwekeze katika miradi mbalimbali na uweke akiba na hiyo akiba izalishe na kuleta faida na hiyo faida ilete na kuongeza mtaji wako.
Usipofanya kazi kwa bidii ,ukabweteka tu.Nakuambia utailaumu serikali mpaka siku zako za maisha ya hapa Duniani zitakapo koma.kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa wewe na mimi mwananchi kufanya kazi kama ifanyavyo serikali ya Rais samia.mfano kwa sisi wakulima serikali imeweka mazingira wezeshi na rafiki kwa mkulima kuinuka kiuchumi kwa kutoa mbolea za Ruzuku,kuweka soko la uhakika,kuweka sera rafiki kwa kilimo na mkulima,kuweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa pembejeo na kwa bei nzuri, kujenga miundombinu ya barabara inayosaidia katika kusafirisha mazao yetu kulifikia soko kwa urahisi.
Kwa hiyo kwa sisi wakulima hiyo ni fursa kwetu ambayo tukitumia vizuri hakuna atakaye bakia katika umaskini .lakini kama ukikaa utajikuta wewe unabaki maskini na wenzio wanapiga hatua mbele za maendeleo halafu wewe unabakia unalalamika kila siku,kana kwamba unataka serikali ije ikulimie shamba huku wewe umejiegesha nyumbani kwako
Ngoja akuandikie hotuba.Tulia.Unaonaje kama tukiwapisha na wenzetu waje wajalibu, labda watakuja na mbinu tofauti na sisi
Tuchague vyama vingine la sivyo tutaona mabaya zaidi.Sasa tufanyaje ili tuondokane na huu umaskini? Kwa ushauli wako
Hawa ccm ni wezi wa kura,uchaguzi uliopiti walichafua sana.Tuchague vyama vingine la sivyo tutaona mabaya zaidi.
(WEWE SIO KADA WA CCM)Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa, lakini kinyume chake raia wetu maskini wa kutupa, huku viongozi wakiishi kwenye utajiri mkubwa na maisha yaanasasa, mfano mishahara yawabunge vs ya walimu.
Nana anayesababisha huu umaskini?