Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Ni wewe Mkimuyangu pamoja na hao wana CCM wenzako. Kama ni kweli huwajui, unafiki ndio unakusaumbua!Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM, nani anayesababisha huu umasikini?
Ni CCM na serikali yake...CCM ni chama cha mafisadi na matapelihivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe...nani anasababisha huu umasikini?
Ni CCM, wezi wa rasilimali za taifa, wanaokula hadi mbegu!ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa, lakini kinyume chake raia wetu maskini wa kutupa...nani anayesababisha huu umasikini?
Ni viongozi wa CCM pamoja na serikali yake kuanzia chini hadi juu kabisa wanaokula bila kunawa., huku viongozi wakiishi kwenye utajiri mkubwa na maisha yaanasasa, mfano mishahara yawabunge vs ya walimu... nani anayesababisha huu umaskini?