NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
ni maoni yangu tu ,benchi lao mi sijui linasemajeBenchi lao la ufundi linasemaje
nasemea kwenye upande wa kutoa mchango kwa timu,nazan yacouba angekuwa na msahada zaidi kwenye hiyo timu zaidi ya makamboYupo mayele kiboko ya makolo mechi 3 ana goal nne waondoke wote hyo kazi inaweza kufanywa kwa makini na mayele kwa ufasaha kabisa.
Yacouba hawezi kubaki kwa kuwa hajawahi kuifunga Simba. Kama zawadi Mauya kinachombakisha mpaka sasa ni vile aliifunga Simba tu. Hamna kingine anachoofer uwanjani.Hii leo kuna habari kuwa nyota yacouba anaelekea kwao burkina faso,inaweza ikawa ndio bye bye hiyo.
Kwenu viongozi wa Yanga yacouba angekuwa na msahada mkubwa kwa timu zaidi ya ambao Makambo anatoa.
kuelekea mechi mbalimbali za kimataifa na ligi ya ndani ,Makambo uwezo wake unamashaka sana ,
Japo sogne ndio ametoka majeruhi ya muda mrefu na pengine namba anayocheza wapo wachezaji wengine wenye uwezo pia lakiin pengine ingekuwa ni bora angebakizwa ycouba
Kama kuna Mabush Lawyer basi naamini pia kuna na Mabush Kocha.Yacouba hawezi kubaki kwa kuwa hajawahi kuifunga Simba. Kama zawadi Mauya kinachombakisha mpaka sasa ni vile aliifunga Simba tu. Hamna kingine anachoofer uwanjani.
Unasema makocha wa uto ni mabush coaches? Mzee una masiharaKama kuna Mabush Lawyer basi naamini pia kuna na Mabush Kocha.
ni kweli, lakini nadhani muda wake umefika sasaYacouba Sogne ni kama Mapinduzi Balama. Wana vipaji vikubwa! Ila ndiyo hivyo sasa, majeraha yamewarudisha nyuma.
All in all, Yanga haina mwenyewe! Wamepita wachezaji lukuki, hivyo hata huyo Makambo naye muda wake ukifika, ataondoka.
Na asipobadilika, ataondoka kweli. Maana hakuna namna.ni kweli, lakini nadhani muda wake umefika sasa
Kumekuchaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na asipobadilika, ataondoka kweli. Maana hakuna namna.