Kwa Makambo, bora angebaki Sogne Yacouba

NITAKUKAMATA TU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
347
Reaction score
432
Hii leo kuna habari kuwa nyota yacouba anaelekea kwao burkina faso,inaweza ikawa ndio bye bye hiyo.
Kwenu viongozi wa Yanga yacouba angekuwa na msahada mkubwa kwa timu zaidi ya ambao Makambo anatoa.

kuelekea mechi mbalimbali za kimataifa na ligi ya ndani ,Makambo uwezo wake unamashaka sana ,
Japo sogne ndio ametoka majeruhi ya muda mrefu na pengine namba anayocheza wapo wachezaji wengine wenye uwezo pia lakiin pengine ingekuwa ni bora angebakizwa ycouba
 
Attachments

  • FB_IMG_1661334107192.jpg
    FB_IMG_1661334107192.jpg
    48.5 KB · Views: 3
Yupo mayele kiboko ya makolo mechi 3 ana goal nne waondoke wote hyo kazi inaweza kufanywa kwa makini na mayele kwa ufasaha kabisa.
 
nasemea kwenye upande wa kutoa mchango kwa timu,nazan yacouba angekuwa na msahada zaidi kwenye hiyo timu zaidi ya makambo
 
kuna vimeo kibao vimebaki lakini yacobo wamemtupia virago, pamoja na jitihada zake binafsi za kuhakikisha Aziz kii anatua jangwani, kisingizio cha kuachwa kwake ni .injuries' ……………..
 
Nafikiri taarifa sahihi ninkwamba pamoja Yanga wamemuacha atahudumiwa na club mpaka rakapopata utimamu wa mwili, kwani amepewa program maalumu, na hili ni maafikiano ya pande zote 2.

Kujusu Makambo nafikiri tumache amalize mkataba wake nafikiri ni miezi sita imebaki tutajua huko mbele ya safari
 
Hii leo kuna habari kuwa nyota yacouba anaelekea kwao burkina faso,inaweza ikawa ndio bye bye hiyo.
Kwenu viongozi wa Yanga yacouba angekuwa na msahada mkubwa kwa timu zaidi ya ambao Makambo anatoa.

kuelekea mechi mbalimbali za kimataifa na ligi ya ndani ,Makambo uwezo wake unamashaka sana ,
Japo sogne ndio ametoka majeruhi ya muda mrefu na pengine namba anayocheza wapo wachezaji wengine wenye uwezo pia lakiin pengine ingekuwa ni bora angebakizwa ycouba
Yacouba hawezi kubaki kwa kuwa hajawahi kuifunga Simba. Kama zawadi Mauya kinachombakisha mpaka sasa ni vile aliifunga Simba tu. Hamna kingine anachoofer uwanjani.
 
Kama kuna Mabush Lawyer basi naamini pia kuna na Mabush Kocha.
 
Yacouba Sogne ni kama Mapinduzi Balama. Wana vipaji vikubwa! Ila ndiyo hivyo sasa, majeraha yamewarudisha nyuma.

All in all, Yanga haina mwenyewe! Wamepita wachezaji lukuki, hivyo hata huyo Makambo naye muda wake ukifika, ataondoka.
 
ni kweli, lakini nadhani muda wake umefika sasa
 
Back
Top Bottom