Kwa makato haya kwa mwanafunzi atanufaika lini sasa?

Yan akili yangu sijui inawaza nini? Neno la pili kwenye Kichwa cha thread nimesoma haraka haraka aseeh mpaka nimejishangaa mwenyewe.

Tuendelee na mada
 
Mimi nina account mbili crdb na zote hazina makato na kutoa natolea dirishani siend kwa wakala Wala ATM isipokuwa kwa dharura

Kuna account ya IMBEJU & HODARI BUSINESS ACCOUNT
ila hii HODARI lazima uwe na documents za brela na leseni hiyo imbeju ni kijana au mwanake
 
Kwahiyo sisi wanaume TUENDELEE kuteseka sioo?🙄🙄
Ma nina🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…