Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibubu navyo vya kununua vina chuma ulete🤣 makato hayakwepeki kote koteTununue vibubu
Crdb hawana makato kivile halafu tena akaunti ya scholar. Huyo mwanafunzi amekatwa kiasi Chote sababu ya kuangalia financial statements zaidi ya mara moja kupitia Simbanking na kutoa pesa zaidi ya mara moja kwa ATM ambapo kuna makato kwa kila muamala unapotoa pesaView attachment 3035883
CRDB EBU WEKENI ACCOUNT WEZESHI NA SIO HUU UPUUZI WENU LA SIVYO KITAWALAMBA
Eti hii ndo account ya MWANAFUNZI isiyo na makato khaaaaaaa🙄🙄
Na za wafanyakazi hali ikoje Jamani?.🤣
Na hiyo nilokutumia huoni?Crdb hawana makato kivile halafu tena akaunti ya scholar. Huyo mwanafunzi amekatwa kiasi Chote sababu ya kuangalia financial statements zaidi ya mara moja kupitia Simbanking na kutoa pesa zaidi ya mara moja kwa ATM ambapo kuna makato kwa kila muamala unapotoa pesa
KUmbe tuko wengi. Nikajia ni mimi pekeeHahahah hata Mimi