GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila.
Nami GENTAMYCINE nina Swali kwa Kocha wa 'hovyo' Zubeiry Katwila kuwa sasa kama kumbe alijua kuwa huo Mchezo wake na Yanga SC Kwake haukuwa na Kipaumbele chochote kwanini asingewaomba tu TFF wawape Yanga SC Ushindi kuliko kuingiza Timu yake ya Ihefu FC ambayo jana si tu ilicheza Mpira mbovu bali pia ilicheza Mpira wa Kiuwendawazimu na wa Kipuuzi kama si Kitoto pia.
Mijitu mingine ni ya hovyo kama Sura zao tu. Halafu kwa Makocha wa 'hovyo' kama hawa na wengine baadhi ndiyo mnataka Soka la Tanzania likue? Kudadadeki zenu Simba na Yanga zitaendelea Kutawala Soka la Tanzania mpaka Kiama kitakapokuja.