Kwa makusudi, au kwa kutokujua, Lissu anataka kuleta mpasuko CHADEMA!

Kwa makusudi, au kwa kutokujua, Lissu anataka kuleta mpasuko CHADEMA!

Usiwe na wasiwasi kabisa,hakuna mafahali wawili wowote wa kuingia vitani,Chadema kwa sasa ina fahali mmoja tuu,the one and only TL。

Chadema kinafuata mtindo wa uongozi wa kundi la simba,huwa lina dume moja tuu, dume hilo likizeeka haliwezi tena kuwinda,huwa linaachwa nyuma na huwezi amini, 🉑nalazimika kula majani hadi kujifia!。

Hivyo baada ya fahali jipya kutangaza nia, fahali mzee anajikalia zake pembeni kumpisha fahali mpya dume la mbegu。
p
Mods sasa uzi ufungwe huu. Mambo aliyosema mwenyekiti kwamba ni siri yao, wanayapika chunguni, ndiyo haya sasa.
 
Back
Top Bottom