Uchaguzi 2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

Walimu karibu 95% ndiyo mnaokwenda kuwa wasimamizi kwenye vituo vya kupigia kura tarehe 28/10/2020..

Nendeni mkafanye kitu, acheni kutishwa maana mnaambiwa mmepewa hiyo kazi kuhakikisha Magufuli anashinda hata kwa kupindua meza..

Na mmeambiwa mtumishi wa umma yeyote kwenye kituo chake cha kupigia kura atakachosimamia, kama Tundu Lissu ataongoza kwa kura ya Urais , basi eti jihesabu HUNA KAZI..

Very stupid, vitisho vya kijinga na kipumbavu sana hivi!!!

Tunawasihi na kuwatia moyo kuwa, hawana lolote. Wasiwatishe kwa sababu kuanzia tarehe 28/10/2020 ifikapo saa 5:59usiku, John Pombe Magufuli SI RAIS WA JMT tena na kwa hiyo hatakuwa na nguvu wala mamlaka ya kumfukuza kazi mtu awaye yeyote..!

Msije mkafanya kosa la kuusaidia UOVU na mtu MWOVU (Magufuli) kuendelea kuwatawala..

Atashindwa na muacheni ashindwe. Kamwe msitumike kuiba kura kumsaidia mtu mwovu kuendelea kutawala!!
 
Yaan kote umeongea vizuri umeharibu hapo tu uliposema nisiejielewa...kwa sasa nakusitiri kuku jibu ila jua kua anaetakiwa kujua najielewa au sijielewi ni mke wangu sasa ww sijui nani kwangu?
 
Kura kurara ...kazi na kura bata.....kila mtu ana kura 1 tu......
 
Hakuna mwalimu anaandika kama bavicha.
 
We fala, hebu nyamaza. Wanaume wanapoongea wewe nenda katunge shanga, usiku ukachenguliwe na masela. Hivi unaijua annual increment wewe.
 
Hakuna uongo hata chembe kwa aliyoyazungumza. Wanaojitambua wote hatumpi jiwe kura.
 
Jiandae Kasaikologia ka Kura kako kamojaa hatana impact
 
Huyu Magufuli na serikali yake ni hovyo kabisa na imezima ndoto za mamia kwa maelfu ya Watanzania. Hafai kabisa. Kura zote ni kwa Mheshimiwa Lissu. Tanzania tuanze ukurasa mpya. Huu ukurasa wa magufuli hausomeki.
 
Hongera kwa kuyatambua hayo....! Tena nyinyi walimu ndio mnatia huruma sana basi tu, Mnaishi ni kama wafungwa wenye kifungo cha nje chenye masharti magumu...

Maisha ya walimu na polisi ni balaa sana...
Full time stress!!
 
Yaan kote umeongea vizuri umeharibu hapo tu uliposema nisiejielewa...kwa sasa nakusitiri kuku jibu ila jua kua anaetakiwa kujua najielewa au sijielewi ni mke wangu sasa ww sijui nani kwangu?
Kuacha kazi ndiyo umekuwa kibwagizo cha watu wasiojielewa kama wewe.

Serikali irudishe fao ka kujitoa, uone kama watumishi hawajawaachia kazi zenu na hivyo viinua migongo vya 25%

Maana hata hao wapya mtakaowaajiri mnawaona wengi mtaani wakifikisha miaka 5 tu kazini wataanza madai yaleyale

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa acha kazi kama.umepanick..haki haki hivi unajua wapo wasomi wakubwa tu nje wanatamani hata huo mshahara wako unaoita mdogo hata wa mwezi mmoja?? Kama umechoka acha ww sio special upewe kila kitu ww nani
Aache assume namb
 
Fanya kampeini vizuri sana kutafuta mtu atakayekutimiza yote utakayo. Zamani sana siku katika hekaya za kusadikika kule Ujerunai kulikuwa na mtu mmoja katika kijiji cha Hamelin alikuwa anajua sana kupiga filimbi tamu; kwa hiyo akipiga filimbi yake, panya watamfuata na mwishowe kuwaingiza majini ambako wanafia huko. Mpiga filimbi yule pia alipiga filiambi akaondoka na watoto wote kijijini na kuwaingiza pangoni. Mlio wa filimbi unaweza kuwa mtamu sana; tatizo ni hatima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…