Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Welcome to Rwanda my brother and friend, President Filipe Nyusi. We look forward to hosting you for the next three days.
Na kwetu sisi watabiri wa mambo ya future, Uganda na S.Sudan nazenyewe zinaweza kujiunga na SADC.
Kenya inaweza kubaki nchi pweke.
Hii inatokana na mkutano uliofanyika juzi kati ya vyama vya siasa Barani Africa kufanya mkutano na CPC.
Tunaona kabisa Raisi wa Mozambique ameenda kutembelea Rwanda.
Ukumbukwe kwamba Mozambique chama kinachotawala ni FRELIMO ni moja ya vyama sita vilivyojenga chuo cha siasa nchini Tanzania kwa kushirikiana na CPC ya china.
Vyama hivyo ni
ANC - South Africa
CCM- Tanzania
ZANU-PF - Zimbabwe
SWAPO - Namibia
MPLA - Angola
FRELIMO - Msumbiji
Ikumbukwe kwamba katika harakati za ukombozi wa Msumbiji, Yoweri Kaguta Mseven chini ya uongozi wa Julius Kambarage Nyerere alishiriki katika ukombozi wa nchi ya Msumbiji.
Kwa watu ambao tunaangalia kwa jicho la tatu na kuunganisha dots utaona kwamba Rais ya China atafika barani Africa na kutembelea nchi za Rwanda kabla ya mkutano wa Africa ya Kusini.
Jaribu kufuatilia video hii iliyotolewa kutoka Ikulu ya Dar es salaam. Utaona kabisa mwelekeo wa Africa. Nakuomba umsikilize mwakirishi wa SWAPO kwa umakini utanielewa tu:-