Kwa mambo yanavyoenda Rwanda na Burundi zaweza kujiunga SADC

Kwa mambo yanavyoenda Rwanda na Burundi zaweza kujiunga SADC

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Welcome to Rwanda my brother and friend, President Filipe Nyusi. We look forward to hosting you for the next three days.

Na kwetu sisi watabiri wa mambo ya future, Uganda na S.Sudan nazenyewe zinaweza kujiunga na SADC.

upload_2018-7-19_18-4-59.png

Kenya inaweza kubaki nchi pweke.
Hii inatokana na mkutano uliofanyika juzi kati ya vyama vya siasa Barani Africa kufanya mkutano na CPC.
Tunaona kabisa Raisi wa Mozambique ameenda kutembelea Rwanda.
Ukumbukwe kwamba Mozambique chama kinachotawala ni FRELIMO ni moja ya vyama sita vilivyojenga chuo cha siasa nchini Tanzania kwa kushirikiana na CPC ya china.

Vyama hivyo ni
ANC - South Africa
CCM- Tanzania
ZANU-PF - Zimbabwe
SWAPO - Namibia
MPLA - Angola
FRELIMO - Msumbiji

Ikumbukwe kwamba katika harakati za ukombozi wa Msumbiji, Yoweri Kaguta Mseven chini ya uongozi wa Julius Kambarage Nyerere alishiriki katika ukombozi wa nchi ya Msumbiji.

Kwa watu ambao tunaangalia kwa jicho la tatu na kuunganisha dots utaona kwamba Rais ya China atafika barani Africa na kutembelea nchi za Rwanda kabla ya mkutano wa Africa ya Kusini.

Jaribu kufuatilia video hii iliyotolewa kutoka Ikulu ya Dar es salaam. Utaona kabisa mwelekeo wa Africa. Nakuomba umsikilize mwakirishi wa SWAPO kwa umakini utanielewa tu:-

Welcome to Rwanda my brother and friend, President Filipe Nyusi. We look forward to hosting you for the next three days.

Na kwetu sisi watabiri wa mambo ya future, Uganda na S.Sudan nazenyewe zinaweza kujiunga na SADC.

View attachment 813372
Kenya inaweza kubaki nchi pweke.
Hii inatokana na mkutano uliofanyika juzi kati ya vyama vya siasa Barani Africa kufanya mkutano na CPC.
Tunaona kabisa Raisi wa Mozambique ameenda kutembelea Rwanda.
Ukumbukwe kwamba Mozambique chama kinachotawala ni FRELIMO ni moja ya vyama sita vilivyojenga chuo cha siasa nchini Tanzania kwa kushirikiana na CPC ya china.

Vyama hivyo ni
ANC - South Africa
CCM- Tanzania
ZANU-PF - Zimbabwe
SWAPO - Namibia
MPLA - Angola
FRELIMO - Msumbiji

Ikumbukwe kwamba katika harakati za ukombozi wa Msumbiji, Yoweri Kaguta Mseven chini ya uongozi wa Julisu Kambarage Nyerere alishiriki katika ukombozi wa nchi ya Msumbiji.

Kwa watu ambao tunaangalia kwa jicho la tatu na kuunganisha dots utaona kwamba Rais ya China atafika barani Africa na kutembelea nchi za Rwanda kabla ya mkutano wa Africa ya Kusini.

Jaribu kufuatilia video hii iliyotolewa kutoka Ikulu ya Dar es salaam. Utaona kabisa mwelekeo wa Africa. Nakuomba umsikilize mwakirishi wa SWAPO kwa umakini utanielewa tu:-

you speak to trash to much bro@ it's shame for you# Our SADDC is good we don't want to add any more countries
 
So unamaanisha watajitoa COMESA? Itakuwa pigo kwa Kenya. Wakijiunga hao itabidi tuvunje EAC maana haitakuwa na maana kulipia membership mara mbili!
 
Ikumbukwe kwamba Paul Kagame ni moja ya watu waliopata mafunzo Tanzania. Paul Kagame alimsaidia Mseven katika harakati zake.

Kutokana na mkutano uliofanyika baina ya CPC na vyama 40 barani Africa. "Vyama vya Kenya havikuwepo" Makubaliano yalikuwa ni kwamba Tanzania iwekiongozi wa mapambano ya kiuchumi baada ya mafanikio ya mapambano ya uhuru.

Na ifahamike kuwa Tanzania ni moja ya nchi chache zilizoanzisha OAU ikiwemo na Ethiopia. Kenya haikuwepo.

Na ifahamike kwamba kipindi cha Tanzania ikisaidia nchi zingine za kiAfrika kupata uhuru, kenya ilikuwa ikishirikiana na wazungu kuebdelea kuwanyonya Waafrika. Hiyo inatokana na Kenya kuwasaidia RENAMO wa msumbiji waliokuwa upande wa wakoloni. Kenya ilikuwa ikitoa passport kwa viongozi wa renamo. Historia inajirudia. Kenya itabaki pweke.
 
Ikumbukwe kwamba Wimbo wa Taifa wa South Africa, Zambia na Tanzania melody zinafanana.
Ni watu wacheche wenye kufahamu mambo wanaweza kuelewa kinachoendelea.
Tayari AU ipo na vision 2065.
Kenya amkeni acheni kujisifia mambo ya kijinga. Uganda tayari wananunua ndege zao. Hili suala la kutumia ndege za kenya linaenda kumalizika siyo mudamrefu.
Tanzania inaweka radar zake. Tayari kuna upanuzi wa bandari.

Halafu hiki tunachokifanya hapa ni kuwakumbusha nyie wakenya amkeni. Mmelala usingizi. Mtakapokuja kuamka na kujua reality mtakuwa mmechelewa sana.
 
Anael you speak too much trash things@ u are not typically Tanzanian# shame on u
 
Back
Top Bottom