Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 181
Kuna kitu hakipo sawa Tanzania na inasababisha sisi Wananchi tuichukie nchi yetu alafu viongozi wanatusisitiza eti tuwe wazalendo.
Ni zaidi ya dakika 50 sasa barabara ya moshi Arusha imefungwa magari yapo foleni isiyo na mwisho eti kisa rais anahutubia USA njiani, hivi kama unataka kuongea na watu si uende uwanjani jamani.
Wagonjwa wapo njiani,watu wanachelewa kwenye shughuli zao kwa sababu za kijinga kabisa. Hii nchi hatutakaa tuendelee milele, tutasingizia ushoga kama navoona mitandaoni kila siku.
Fikra za kifukara hizii....