Captain Ruoma
Member
- Mar 9, 2019
- 60
- 15
Kwani kufungwa ni kitu kipya katika soka?Man kapigwa viwili bila ubishi. Apo mashabiki walikuwa wanasema dakika ya 80 hadi dakika za nyongeza tunarudisha yote na tunaongeza la tatu
Sent using Jamii Forums mobile app