Yawezekana mwenzetu alishawahi kujiskia was jinsia tofauti. Yule dogo nae kichaa tu kama wema. Unajua ndege wanaofanana manyoya huruka pamojaIdris nilivyomuona mimi mkuu hajielewi kabisaaaaaa, eti anasema anachompendea wema ni kwamba "anamfanya ajisikie mwanaume"!!!!!! Sielewi how, huko nyuma alikuwa anajisikia mwanamke au
Why a replica of mum? Do you know anything about her mum's behaviour or something?Wema needs serious help before its too late-mwisho wa yote haya goals hazifikiwi suicidal tendencies zina creep in-tutakuja mpoteza binti huyu,sababu stage aliyofikia she does not know the difference- nimejaribu sana ku analyse tabia zake-conclusion she is a replica of her mum-its in the genes
Kakudanganya huyo daktari.And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Agakhan ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.
tafuta clip za mama yake anaongea-ziko nyingi sana-you will be astonished-iko mmoja anajizungushazungusha na kuwambia watu ana figure ya a 12 year old-maneno haya kayasema sio zamani sana,could be 6 months agoWhy a replica of mum? Do you know anything about her mum's behaviour or something?
Duh hiyo kali basitafuta clip za mama yake anaongea-ziko nyingi sana-you will be astonished-iko mmoja anajizungushazungusha na kuwambia watu ana figure ya a 12 year old-maneno haya kayasema sio zamani sana,could be 6 months ago
tafuta clip za mama yake anaongea-ziko nyingi sana-you will be astonished-iko mmoja anajizungushazungusha na kuwambia watu ana figure ya a 12 year old-maneno haya kayasema sio zamani sana,could be 6 months ago
Teehehehehe kazi ipo mkuu, kizazi cha nyoka, kitabaki kuwa cha nyoka tu.Hakuna haja ya kuandikia mate ingali wino upo!
Eti anajiita 'Mnyaturu live'πππ
Hahaha duh nimeaminiHakuna haja ya kuandikia mate ingali wino upo!
Eti anajiita 'Mnyaturu live'πππ
Hahahaaaaa duh huyu mama ni kivumbi aisee!! Kumbe wema karithi tu alooo!! KahNa kuna zaidi.....
TUMBO UPEPO, UNAFIKIRI KUPIGA MIMBA MCHEZO, YULE WEMA KIMEO TU, MAMBO MENGINE BWANAAAHabarini wana Jamvi
Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote walikaa kwa mda bila kusema chochote hatimae leo Idrissa Ameandika hay baada ya kupost picha ya watoto mapacha
To my unborn twins,
So quickly you came into our lives,
So quickly torn away.
Never got the chance to meet you,
There's so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It's enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much.
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. β€οΈ
teh teh teh kwanza ni kuudanganya umma kwamba ana mimba ikawa ndo kick ya kula ile 500 k ya sultan.wenye mimba huwa hawajitangazi ila unaiona tu. ukiona mwanamke anatangaza ana mimba kua makini, wengine wanakunywa hamira. mimba itoke hata usilazwe?Tatizo hapa ni wema kujitangaza kuwa alikuwa mjamzito au ujauzito wake kutoka???Saidia plz.
teh teh teh kwanza ni kuudanganya umma kwamba ana mimba ikawa ndo kick ya kula ile 500 k ya sultan.wenye mimba huwa hawajitangazi ila unaiona tu. ukiona mwanamke anatangaza ana mimba kua makini, wengine wanakunywa hamira. mimba itoke hata usilazwe?
kweli kama mwanamke unaweza kupimwa kwa staili hiyo. mi najua tu wale walitaka promo "mwanamke hasingiziwi mimba "kwa idrisa nae ni wale wale.Mbona niliangalia clip moja wakihojiwa na clouds TV..Idriss alikiri kumpima wema ujauzito bila wema kugundua na kugundua kuwa ni kweli alikuwa mjamzito..INA maana Idris naye aliwachezea watu akili?