Unajua tatizo letu tunajifanya mambo ya uzungu uzungu ndio SHIDA hiyo. Mimi ningekuwa wema ningekuwa na mimba nisingetaka kupigapiga mayowe, ningekuwa very selective Kwa kile ninacho Fanya, kula na ningeiangalia tabia yangu Ni ujumla na Kama ningeweza ningejipa complete bed rest Kwa jinsi ambavyo ningekuwa naitetemekea hiyo mimba. MTU nishajijua, watu haeaishi kuninanga, ningetulia Kwa kweli ili niwapate Hao watoto alafu mgenikoma!!
Mimba Si kiazi kusema kinakulia ndani Kwa ndani, ingekuwa tuu na mngeiona tuu, sasa Bibi huyu haina Haya wiki Tatu, full publicity, ndio nini sasa[emoji35] [emoji35] , Haya mke ningekuwa mimba ningejidedisha kuliko kuzaliwa na mama ka sepetunga lol[emoji124] [emoji124] [emoji124]