Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Wema apelekwe kwa mshauri nasaha, hakuna binadamu anayependa matusi, ametukanwa, amekejeliwa jamani, kama hatumii dawa za kulevya atakuwa kwenye wakati mgumu sana. Tatizo kubwa SANA alilonalo anapenda sana kuandikwa kwenye magazeti kwa wema au ubaya. Pia anaishi maisha fake yasiyo na uhalisia
 
Wema apelekwe kwa mshauri nasaha, hakuna binadamu anayependa matusi, ametukanwa, amekejeliwa jamani, kama hatumii dawa za kulevya atakuwa kwenye wakati mgumu sana. Tatizo kubwa SANA alilonalo anapenda sana kuandikwa kwenye magazeti kwa wema au ubaya. Pia anaishi maisha fake yasiyo na uhalisia
Wema ni teja,,anatumia poda
 
mmmh hawa watu wanalindwa na vidume vyao ukiwagusa tu nakwambia utafuatwa mpaka sijui wapi?
Aaaaah wapi wewe,as long as unataja kwa hizihizi fake ID hakuna noma.
Ubaya ni ukimtaja mtu kwa majina yake halisi,Life Ban inakuhusu.
Kawaida sana usijali wala nini,nikipata muda nitakucheki PM.
 
HATIMAYE MANGE KIMAMBI AMSHAURI WEMA NA KUANDIKA HAYA


Baada ya kusoma posti ya Idris all I can say is Pole mdogo wangu.

Kama hukuwa na mimba kama wasio kupenda wanavyodai au kama kweli ulikuwa nayo ni wewe, Idris na Mungu mnaeujua ukweli. Wanawake wengi mno wanapata miscarrage especially mimba ya kwanza, ila kwako wewe lazma waseme ulikuwa unatafuta Kiki. Like I said ukweli mnaujua wenyewe.
Wema wewe sio mtu kuchukua ushauri ila this time naomba uchukue ushauri wangu pls. Theres a reason why wanawake huwa wanaambiwa hata na madoctor wasitangaze mimba mpaka ipite 4 months and thats because mimba chini ya miezi minne inaweza kutoka anytime. Hata dadako hapa huwa nakuwa na kiherehere cha kutangaza kwenye blog nna mimba ila huwa najikaza mpaka niingie 2nd trimester.
Next time news kama hizi only share with your mom na dada zako not marafiki . Kumbuka hizi habari zilianza kutanganzwa na marafiki zako , i think baada ya hapo na wewe ndo ukapata mshawasha wa kutangaza. Hao sio rafiki zako Wema hakuna rafiki anaweza kumtangazia rafiki yake anaempenda kimimba cha mienzi miwili ,huo ni wakati wa kuomba kwa Mungu mimba ikue na ikomae na sio muda wa kutangazia wajinga. Mimi personally nilitaka hata kulia ulipotangaza but it was too late.

Another thing Wema, hivi kwanini unakubali kuwa pressured na wajinga wa social media kuzaa when you are not ready??? The pressure is getting to you Wema. Mbali na familia yako ni mimi peke yangu ndo ninae jua umri wako Wema, Wema huna hata 26 years we mtoto. toka lini mtu mdogo hivyo akawa classified as tasa??? Why unakubali kupewa pressure uzae ukiwa mdogo hivi? hata kuolewa hujaolewa?? Achana nao mdogo wangu, acha waongeee midomo mali yako. Subiri uolewe ndo uzae ,hujawahi hata kuishi na mwanaume for more than a year why uitwe tasa na wewe uanze kupata mshawasha wa kubeba mimba? Achana na hao wapuuzi. Mwishowe uje kuzaa mtoto while you are not ready au uzae na mtu huna mpango wa kuishi nae kisa tu uwakomeshe hawa wajinga wa kwenye mitandao. Utajikomesha mwenyewe. Please dont succumb to the pressure. You are way too young.

Wanakushindanisha na wanawake ambao unatakiwa uwaamkie tena kwa kupiga goti na wewe unakubali kabisaaa. Kuzaa wanazaa mpaka panya when the time is right utazaa.....
kwa andishi hili la sasa naweza kukubali na kuamini kuwa huyu bibie ndio @lala1 halina ubishi kabisaa
 
Laana ya kanumba inamuandama huyo changudoa, coz nasikia kuna mimba yake aliitoa. so kanumba akasema kuna deni anamdai wema
 
Huyu wema mshauri wake mwenyewe ni mage kimambi. Saoivi anamshauri atulie atafute bwana mwenye pesa kama meneja wa bank hivii. hahaha Yani wema ni wa kumuombea, mama yae mwenyewe ndo yule anaropoka matusi hadharani, mshauri mkuu mange kimambi certified lunatic, what do u expect from her?.. poor thing!!
 
Unajua tatizo letu tunajifanya mambo ya uzungu uzungu ndio SHIDA hiyo. Mimi ningekuwa wema ningekuwa na mimba nisingetaka kupigapiga mayowe, ningekuwa very selective Kwa kile ninacho Fanya, kula na ningeiangalia tabia yangu Ni ujumla na Kama ningeweza ningejipa complete bed rest Kwa jinsi ambavyo ningekuwa naitetemekea hiyo mimba. MTU nishajijua, watu haeaishi kuninanga, ningetulia Kwa kweli ili niwapate Hao watoto alafu mgenikoma!!
Mimba Si kiazi kusema kinakulia ndani Kwa ndani, ingekuwa tuu na mngeiona tuu, sasa Bibi huyu haina Haya wiki Tatu, full publicity, ndio nini sasa[emoji35] [emoji35] , Haya mke ningekuwa mimba ningejidedisha kuliko kuzaliwa na mama ka sepetunga lol[emoji124] [emoji124] [emoji124]
there was no pregnancy. ..h akukuwa na kitu kama hicho
 
Ngoja kwanza, yaani daktari kakuambia habari za Wema kuhusu mimba yake?

Huyo ni daktari kweli au ndo sampuli ya akina dokta Mwaka na Manyaunyau?

Daktari kabisa aliyekula kiapo cha Hippocratic?

Aisee!!!
huyo ever hat atakuwa naye dizain ya wemanyok...shennzyyy...ivy why watu wanakuwa waongo hivi...that prostitute wasn't prego
 
Mashabiki wa hawa watu wanakazi si kidogo. Nilidhani labda Idris anajielewa kumbe nae ni wale wale

Halafu hawa vijana ni risk takers kweli kweli maana yule Wema kapulizwa na kila mtu na wao Bado wanaenda kibingwa. Kama wangekua na huu ujasiri kwenye nyanja zingine labda wangepiga hatua smh
Hahaha I like your observation. Mimi wema hata nimkute room kwangu yuko kitandani uchi wa mnyama kanipanulia mapaja tayari papuchi inaniita ananiambia vaa condomu uniingizie mboo siingizi. Kwanzaa haitadinda. Namwambia I am sorry but I can't
 
Six weeks, huyo alipitiliza siku zake tu.
Mbona walisema three and half months. Nikashangaa hivi mimba ya miezi mitatu kuharibika si Angelazwa kabisa huyu kusafishwa? Yani imeharibikia nyumbani na wao wanatoa taarifa. I don't think she ever was pregnant
 
Halafu hiyo team yake isiyojitambua ikamtukana Sana nay wakati kasema ukweli.hao wanaojiita team Wema lazima zimeruka kidogo maana si kwa drama hizi.
Hakuna watu akili haziwatoshi kama mashabiki wa instagram wa wema na diamond. Ukiwakuta huko wakiwa katika ubora wao utaamini kwamba kuna watu na viatu Tanzania. They are quite different people.
 
Back
Top Bottom