hapa kweli wimbo wa ney utaendelea kuwika kila kitu kimekuwa ukweli
Sijawahi kumuelewa Wema hata siku moja. Apunguze kiki zisizo na maana..nadhani angeweka maisha yake private kidogo angeheshimika zaidi. Pole yake.
Ha ha ha mimba gani itoke labda umetoka upepo, mimba yenyewe haieleweki mara wiki 6 mara 13Evelyn Salt ulikuwa unasubiria subiria kutoa hongera ya mimba, umesubiri mnoh hadi imetoa, veepeee pole umetoa ama??
Hahahaaaa bi mdashi ana kazi yulee hatari!!!!!Ha ha ha mimba gani itoke labda umetoka upepo, mimba yenyewe haieleweki mara wiki 6 mara 13
Kinachochekesha ni kujua hadi jinsia za watoto kwa muda huko, hiyo mimba ni ya kipekee sijui ilipimwa kwa microscope make hapo hata ultrasound haioneshi hizo jinsia
Baada ya hili ndo nimemuona mpumbavu aliyepitiliza anatafuta attention za kipumbavu kabisa. Wema hakuwa na mimba na kwa mwendo huu hawezi ibeba.Mashabiki wa hawa watu wanakazi si kidogo. Nilidhani labda Idris anajielewa kumbe nae ni wale wale
Halafu hawa vijana ni risk takers kweli kweli maana yule Wema kapulizwa na kila mtu na wao Bado wanaenda kibingwa. Kama wangekua na huu ujasiri kwenye nyanja zingine labda wangepiga hatua smh
Kwani alikuwa na mimba? Labda usubiri ya kwakeMi nasubiria kwenda kuzika tuu, mazish lini?