mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
wema akapime ukimwi na mimba ya kutangaziana wacha itoke lakini mgumba azae ya wapi hayo? labda kwenye biblia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli maumivu ya mimba kutoka ndo avute shisha? Mond atamuua na stress apunguze kidogo.Ameamua avute na bangi ha ha ha ha ha
Ruttashobolwa
Ha ha ha. Nimechekajeee?! Lol! Binti ana shughuli huyu jamani hadi huruma!!!Six weeks, huyo alipitiliza siku zake tu.
Yaani timu, mwenye timu, meneja wa timu, daktari wa timu.....Wooote akili zao sawa.Halafu hiyo team yake isiyojitambua ikamtukana Sana nay wakati kasema ukweli.hao wanaojiita team Wema lazima zimeruka kidogo maana si kwa drama hizi.
Wote zisharuka kitambo. Mimba imetoka lakini kutwa yuko busy kupost lipstick. Halafu yuko busy na mkongo.Yaani timu, mwenye timu, meneja wa timu, daktari wa timu.....Wooote akili zao sawa.
Wote zisharuka kitambo. Mimba imetoka lakini kutwa yuko busy kupost lipstick. Halafu yuko busy na mkongo.Yaani timu, mwenye timu, meneja wa timu, daktari wa timu.....Wooote akili zao sawa.