Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

wema akapime ukimwi na mimba ya kutangaziana wacha itoke lakini mgumba azae ya wapi hayo? labda kwenye biblia
 
NEY WA MITEGO ALILIGUSIA HILI

NIMEANZA KUAMINI JAMAA ALICHOKIIMBA HAKAKALUPUKA KUNA UKWELI ASEE


"SHIKA ADABU YAKO" BY NEY WA MITEGO
 
Hivi kweli mnaamini Wema alipata au anaweza pata mimba?
 
Hakukuwa na mimba pale,u fake fake tu;Maisha ya kufaidisha watu kwenye mitandao
 
idriss sultan kumbe na yeye hamnazo nilikuwa namuona yupo smart kidogo kumbe mchicha mwiba
 
Basi na yule jamaa ambaye jogoo alipandi inawezekana ikawa kweli.................................
 
Hiyo mimba imemfuata baba yake mzazi Marehemu Steve Kanumba so watoto wataishi katika ulimwengu wa kiroho kama kuna mtu atahitaji kuuona uzao wa Wema anywe sumu akawaone huko wapo kibao. Ila hapa duniani hatutowaona kamwe.
 
Yaani timu, mwenye timu, meneja wa timu, daktari wa timu.....Wooote akili zao sawa.
Wote zisharuka kitambo. Mimba imetoka lakini kutwa yuko busy kupost lipstick. Halafu yuko busy na mkongo.
Yaani timu, mwenye timu, meneja wa timu, daktari wa timu.....Wooote akili zao sawa.
Wote zisharuka kitambo. Mimba imetoka lakini kutwa yuko busy kupost lipstick. Halafu yuko busy na mkongo.
 
Wema aka drama queen she`s too fake..😉😉
 
NEY.naanza kumkubarili sasa yuko sahihi.maana mwema mwepesi.ni vituko ndio maana domo.katulia zake.sasa hivi angekua nae kichekesho zaidi
 
Kwa uchungu mkubwa naandika hapa kuwashauri hawa wanaojiita mastaa....Wema and Idrisa kama mlifanya hivyo mkitafuta Kick kwenye vyombo vya habari mjue ndio tayari mlishajichulia hapo Mungu amewasikia na atambaaa na maigizo yenu mpaka mwisho wa life....Endapo kama ni janja ya Wema ndio imekuingiza hapo akakuaminisha kwamba anaujauzito wako kumbe siyo, Mungu atatambaaa naye hata siku ya mwisho!
Fanyeni yote lakini acheni dhihaka na masuala ya uumbaji, hiyo ni sawa na kumdhihaki Mungu. Na Mungu si wa maigizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…