Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ha ha ha Idris anaomboleza ye yupo na danga la kicongoHivi kweli maumivu ya mimba kutoka ndo avute shisha? Mond atamuua na stress apunguze kidogo.
Bora weweRoho imeniuma sana
Yani ndo nimezidi kumchukia huyu mama ubaya.Ha ha ha Idris anaomboleza ye yupo na danga la kicongo